kenny mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 332
- 952
Wakuu nimekuwa kila siku nikienda kwenye hotel moja kwaajili ya kula, mimi siyo mpenzi wa kujipikia kutokana na kuwa ratiba zinanibana hivyo nimezoea kula kwenye hotel iliyopo mtaa wangu.
Sasa mimi huwa naacha bili ya kula mwezi mzima kwa mama mwenye hoteli, sasa kuna muhudumu mpya ana kama wiki 2 tu, kila nikienda huyu mhudumu ananichangamkia hadi kapitiliza, mbaya zaidi anakuwa na furaha sana.
Nilifanya utafiti nikagundua sio wateja wote anaowachangamkia kama mimi, mbaya zaidi huwa ananiangalia sana. Wakuu siyo demu mkali, ni wa kawaida. Sasa nimeona nisianze kuomba namba mapema hadi pale atakapoanza yeye, ila nimegundua ukiwa smart sana mademu wanapagawa kinoma!