[h=2]Anatakiwa mhudumu kwa ajili ya kumhudumia bibi mzee-hajiwezi,kazi kubwa ni kumpikia na kumuosha.Anayetakiwa ni mhudumu wa kike,umri kati ya 18-35,kabila yoyote,kazi iko DAR.,kula na kulala zitalipiwa na familia.Wapi anaweza kupatikana?Akiwa nurse anaweza kulipwa zaidi kidogo.
dibkanm@yahoo.com[/h]
Likwanda,nakushukuru kwa swali lako na muda wako. Sitaki kuongopa wapo na si ndie mimi ninayeandika?*? lakini wanatafuta hicho cha kujlisha na kumlisha na kumuwekewa huyo mfanyakazi.Kama niko nje ya nchi na sina uwezo wa kumleta nimfanyeje,naomba nishirikishe njia uliyotumia wewe au utakayotumia wewe kwa wazazi/bibi yako au utakayotunziwa wewe,na kwa bahati mbaya nakushukuru na Noeli njema kwako na familia..
Bahati mbaya akitangulia mbele za haki, ndiyo itakuwa mwisho wa kibarua?????????????
akiwa kama bibi angu huyo mfanyakazi lazima atoke nduki maana karudi utoto wa mienzi 6 na ni mkorifi sana .hawa wazee wanatakiwa walelewe na ndugu au jamaa wa karibu
Yupo hapo kwenu Singida?