Mhudumu Duu....

kakuruvi

JF-Expert Member
Sep 2, 2009
770
256
Wasambaa wawili wanakaa kwenye viti baa wanatafakari waagize nini, ghafla wanaingia wachaga wawili nakuagiza kwa sauti ''tuletee Kilimanjaro mbili bwashee'' wasambaa wakaona wasituzingue hawa mhudumu alipokuja kwenye meza yao wakakurupuka ''tiletee Lushoto mbili tafadhli'' mhudumu duu...
 
Hapo kwenye red wangesema " Tiletee Usambaa mbili tafadhali" ha ha haaa!
 
teh teh teh teh!!!!!!!!!!!
na mimi nitaagiza......1 baridi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom