Nilikuwa sehemu mzungu mmoja akasema a white man is always superior to a blackman nilijisikia vibaya lakini nikifikiria tabia zetu niliona kama kuna kaukweli hivi nchi zingine huwezi sikia umeme umekati ni hizi nchi za weusi yaani ni shidaKama kichwa kinavyo jieleza hivi tanesco kuna shida gani maana si kwa mgao huu wa umeme watu tumejiajiri kwenye viwanda vidogo lakini umeme
Umekuwa shida watoto wanakufa njaa maana hakuna kazi tunafanya au mhongo alindoka na umeme wake maana tangu aondoke imekuwa shida tupu huku kwetu kaliua ndio balaa tupu
Je serikali ya viwanda itafanikiwa kwa hali hii.