Toga
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 665
- 861
Kama kichwa kinavyo jieleza hivi tanesco kuna shida gani maana si kwa mgao huu wa umeme watu tumejiajiri kwenye viwanda vidogo lakini umeme
Umekuwa shida watoto wanakufa njaa maana hakuna kazi tunafanya au mhongo alindoka na umeme wake maana tangu aondoke imekuwa shida tupu huku kwetu kaliua ndio balaa tupu
Je serikali ya viwanda itafanikiwa kwa hali hii.