Mhm sema mwenyewe kuhusu hii picha!

Mhm sema mwenyewe kuhusu hii picha!

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
CCM duh.jpg
Hakuna kukunja gaoti je Katiba mpya itawezekana kwa mwendo huu!!
 
Yaani JK kaigeuza hii nchi ya wacheza ngoma? kweli Wa-kwe-re kazi kweli kweli!
 
nafkiri ayo ndo yailikua maandalizi kabla ya kulihutubia bunge maalum
 
utawala wa jk vituko,j.makamba,nchemba,lukuvi ndio think tankers..
 
Back
Top Bottom