Mkuu wapo wahitimu km ww wana miaka miwili mpk mitatu mtaani na bdo hawajakata tama.km hipo hipo tu.ushahuri wangu husichague kazi.tafuta ajira yyt hata kwa mshahara wa 150,000 angalau husikoe ht hela ya nauli na kutolea fotokopi cv zk.mm mwnyw nimesota miaka miwil na ajira vibarua ila kwss nimeshalamba shavu.hasikwambie mtu mkuu msomi ni msomi tu.utasota mtaani na dharau zitakuweopo ila siku ukipata zali lako ukirudi mtaani unavimba tu na heshima inarudi.ishi kwa matumaini mkuu.
Watu wanachagua kazi sana,kipindi cha kutafuta ajira,anza na u-freelancer kwenye kampuni hizi za cm,bank,drinks while unasend cv usisubiri kazi ulioyosemea ndio iwe ya kwanza,mie nlikua hadi kuli wa kushusha katoons za soda unzipeleka UDSM manzese kafteria na nyomi kibao lkn hamna cha soo wala nini lakin mungu si athuman sasa bata ubatani,salary >1m,usafiri wa maana 16m,nyumba ipo kwenye lenta,vijibiznes vidogo vipo,komaaa mwana kwa maelezo zaidi ni-PM.
wakuu mimi ni mhtimu wa shahada ya sheria nmemaliza june mwaka huu lakini hadi leo hii nmetafuta kazi hata ya kuuza genge nmekosa wakuu na maisha ya mtaan n magumu sana ndugu zangu naomba mwenye uwezo anisaidie 0767387145 au n pm

Kijana unaonekana ulikuwa unakula sana simbi...napata wasiwasi utawahukumu watu watu kimakosa, fikiria nje ya boxwakuu mimi ni mhtimu wa shahada ya sheria nmemaliza june mwaka huu lakini hadi leo hii nmetafuta kazi hata ya kuuza genge nmekosa wakuu na maisha ya mtaan n magumu sana ndugu zangu naomba mwenye uwezo anisaidie 0767387145 au n pm
Tatzo siyo kupata kazi ila ni kuwa na matarajio makubwa bila kuangalia hali halisi miez mitano tu anapiga kelele nadhani ingekuwa mwaka angezimia watu mpaka leo tunasota vyeti tumetupa kule tunapiga kazi za kawaida ili tuishi mengine majaariwa ya mungu tu!June tu unapga kelele ukikaa mwaka kama mimi si utakufa?
Mkuu rudi tu kijijini ukalime,mwenzio nalima huku..kilimo ni uti wa mgongo
Umesoma sheria lakini kilimo ndo kinaweza kukutoa kimaisha