Peter jaluo JF-Expert Member Joined Nov 10, 2013 Posts 1,750 Reaction score 253 Jan 3, 2014 #1 Kuna mhindi ameuwawa Karikoo na majambazi jamaa wameondoka na hela
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Jan 3, 2014 #2 Peter jaluo said: Kuna mhindi ameuwawa Karikoo na majambazi jamaa wameondoka na hela Click to expand... Maeneo gani mkuu
Peter jaluo said: Kuna mhindi ameuwawa Karikoo na majambazi jamaa wameondoka na hela Click to expand... Maeneo gani mkuu
Peter jaluo JF-Expert Member Joined Nov 10, 2013 Posts 1,750 Reaction score 253 Jan 3, 2014 Thread starter #3 Mhindi kapigwa risasi majambazi wamemua na kuondoka na pesa
kbm JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 5,224 Reaction score 1,685 Jan 3, 2014 #4 Peter jaluo said: Kuna mhindi ameuwawa Karikoo na majambazi jamaa wameondoka na hela Click to expand... ....duh! R.I.P mhindi! salam kwa IGP mpya!
Peter jaluo said: Kuna mhindi ameuwawa Karikoo na majambazi jamaa wameondoka na hela Click to expand... ....duh! R.I.P mhindi! salam kwa IGP mpya!
ZionTZ JF-Expert Member Joined Oct 6, 2009 Posts 1,282 Reaction score 541 Jan 3, 2014 #5 Kwanini usingeandika mtu mmoja kapigwa risasi na majambazi??? Kwanini uandike mhindi?? Huo ni ubaguzi...
Kwanini usingeandika mtu mmoja kapigwa risasi na majambazi??? Kwanini uandike mhindi?? Huo ni ubaguzi...
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,201 Reaction score 99,939 Jan 3, 2014 #6 Wakimaliza hapo wawageukie Wachina mwaka wanamaliza Tembo wetu
M markc.mambo Member Joined Nov 13, 2012 Posts 46 Reaction score 13 Jan 3, 2014 #7 Heeeeeee ! ? Wachina au........ ? Wale bana, tulie tu , hatuwawezi, kwn Uzalendo haupo.
B bategereza JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 3,314 Reaction score 1,072 Jan 3, 2014 #8 Hawakutenda haki kabisa. kama hela walishachukua kwanini wamtoe roho waqt ana familia. ? I hate killers.
Hawakutenda haki kabisa. kama hela walishachukua kwanini wamtoe roho waqt ana familia. ? I hate killers.
Peter jaluo JF-Expert Member Joined Nov 10, 2013 Posts 1,750 Reaction score 253 Jan 3, 2014 Thread starter #9 Kibo10 said: Maeneo gani mkuu Click to expand... shule ya uhuru karibu na jomokenyata trader
Peter jaluo JF-Expert Member Joined Nov 10, 2013 Posts 1,750 Reaction score 253 Jan 3, 2014 Thread starter #10 Kibo10 said: Maeneo gani mkuu Click to expand... shule ya uhuru karibu na jomokenyata trader
Boniphace Bembele Ng'wita JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 3,533 Reaction score 1,936 Jan 3, 2014 #11 Alilipa mishahara ya Wafanyakazi wake?pole kwa Familia yake
Twilumba Platinum Member Joined Dec 5, 2010 Posts 13,468 Reaction score 16,168 Jan 3, 2014 #12 Elli said: Wakimaliza hapo wawageukie Wachina mwaka wanamaliza Tembo wetu Click to expand... wachina ngumu kuwadhibti, waliacha kumnyonga Prince wakat ule walipommkamata na sembe kwa makubaliano ya kufaiidi raslimali za nchi!
Elli said: Wakimaliza hapo wawageukie Wachina mwaka wanamaliza Tembo wetu Click to expand... wachina ngumu kuwadhibti, waliacha kumnyonga Prince wakat ule walipommkamata na sembe kwa makubaliano ya kufaiidi raslimali za nchi!
M Mponjori JF-Expert Member Joined Feb 21, 2011 Posts 2,205 Reaction score 551 Jan 3, 2014 #13 ZionTZ said: Kwanini usingeandika mtu mmoja kapigwa risasi na majambazi??? Kwanini uandike mhindi?? Huo ni ubaguzi... Click to expand... call a spade a spade!
ZionTZ said: Kwanini usingeandika mtu mmoja kapigwa risasi na majambazi??? Kwanini uandike mhindi?? Huo ni ubaguzi... Click to expand... call a spade a spade!
Baba Kapompo JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 1,344 Reaction score 468 Jan 3, 2014 #14 ZionTZ said: Kwanini usingeandika mtu mmoja kapigwa risasi na majambazi??? Kwanini uandike mhindi?? Huo ni ubaguzi... Click to expand... RIP mtu RIP mtu
ZionTZ said: Kwanini usingeandika mtu mmoja kapigwa risasi na majambazi??? Kwanini uandike mhindi?? Huo ni ubaguzi... Click to expand... RIP mtu RIP mtu
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,023 Jan 3, 2014 #15 Daah.. RIP wangemuacha ale "bilibili"
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,835 Reaction score 14,727 Jan 3, 2014 #16 R.i.p mdosi,poleni familia.
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 13,271 Reaction score 31,846 Jan 3, 2014 #17 ZionTZ said: Kwanini usingeandika mtu mmoja kapigwa risasi na majambazi??? Kwanini uandike mhindi?? Huo ni ubaguzi... Click to expand... Upo sahihi.
ZionTZ said: Kwanini usingeandika mtu mmoja kapigwa risasi na majambazi??? Kwanini uandike mhindi?? Huo ni ubaguzi... Click to expand... Upo sahihi.
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Jan 3, 2014 #18 .ni ubaguzi huu....
G gambi sosomb Senior Member Joined Sep 30, 2013 Posts 119 Reaction score 27 Jan 3, 2014 #19 Peter jaluo said: Kuna mhindi ameuwawa Karikoo na majambazi jamaa wameondoka na hela Click to expand... Huu ni ubaguzi mkubwa sana hasa katika rangi na lengo kuu nadhani ni kuwagawa watu wenye asili ya kihindi na waafrika hiyo siyo sawa mkuu.
Peter jaluo said: Kuna mhindi ameuwawa Karikoo na majambazi jamaa wameondoka na hela Click to expand... Huu ni ubaguzi mkubwa sana hasa katika rangi na lengo kuu nadhani ni kuwagawa watu wenye asili ya kihindi na waafrika hiyo siyo sawa mkuu.
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Jan 3, 2014 #20 Peter jaluo said: Kuna mhindi ameuwawa Karikoo na majambazi jamaa wameondoka na hela Click to expand... aisee pole zake sana maana ni hatari..
Peter jaluo said: Kuna mhindi ameuwawa Karikoo na majambazi jamaa wameondoka na hela Click to expand... aisee pole zake sana maana ni hatari..