Well.. hivi vichwa havituumi kweli.. mara wanyama, mara madini, mara fedha .. duh!
Duh................... Hivi hawa wakubwa watawatetea wangapi..??? Kila mahala kuna mkubwaTaarifa kutoka polisi jijini Dar es Salaam ni kuwa polisi wamemkamata tapeli wa kimataifa mwenye asili ya India, Prakash Shah, ambaye ameiba zaidi ya shilingi bilioni 30 kwa kuwatapeli wawekezaji wa kigeni kuwa atawauzia madini kupitia bandari ya Dar es Salaam.
Tapeli huyu yuko kwenye mtandao wa wafanyabiashara mafia wa Tanzania, wakiwemo wamiliki wa hoteli ya Talk of the Town iliyopo karibu na Msasani kwa Mwalimu jijini Dar.
Mhindi huyu atafikishwa mahakamani kesho Jumanne Agosti 23, 2011, kwenye mahakama ya Kisutu kusomewa mashitaka.
Kuna uwezekano waandishi wa habari wakazuiwa wasitoe habari ya kesi hii imalizwe kimya kimya kwani tapeli huyu wa kihindi anafahamiana na wakubwa wengi serikalini.
Vinatuuma itabidi tuwekewe jiwe la panadol kila mkoa tunalamba tu kila siku
Vinatuuma itabidi tuwekewe jiwe la panadol kila mkoa tunalamba tu kila siku
tunahitaji dikteta kuyashughulikia haya. Hakuna chama cho chote cha siasa nchini kinachoweza kukomesha hali hii. hata wanaopiga kelele si ajabu wanapiga kelele kwa kuwa wako nje!!
Mkuu kweli ni vyema wakafanya hivyo ili kupunguza maumivu. Huo ni mnyukano!! Watakamatana, watatajana, watadhihakiana, watabomoana, watahujumiana, wataumbuana lakini mwisho wa siku Tanzania yetu itasimama na mali zetu zitarejea mikononi mwetu.

Taarifa kutoka polisi jijini Dar es Salaam ni kuwa polisi wamemkamata tapeli wa kimataifa mwenye asili ya India, Prakash Shah, ambaye ameiba zaidi ya shilingi bilioni 30 kwa kuwatapeli wawekezaji wa kigeni kuwa atawauzia madini kupitia bandari ya Dar es Salaam.

Tapeli huyu yuko kwenye mtandao wa wafanyabiashara mafia wa Tanzania, wakiwemo wamiliki wa hoteli ya Talk of the Town iliyopo karibu na Msasani kwa Mwalimu jijini Dar.

Mhindi huyu atafikishwa mahakamani kesho Jumanne Agosti 23, 2011, kwenye mahakama ya Kisutu kusomewa mashitaka.

Kuna uwezekano waandishi wa habari wakazuiwa wasitoe habari ya kesi hii imalizwe kimya kimya kwani tapeli huyu wa kihindi anafahamiana na wakubwa wengi serikalini.
Itokee mara ngapi...??? Si tunakoelekea..........TUSHAFIKA HUKO......... Kwani Loriondo kule mbugani ukiingia simu yako ina sema umeingia wapi..???Nchi hii kuna siku tutasikia "wananchi wa wilaya moja mikoa mikoa ya kusini wameuzwa wote huko Uarabuni bila ya wao kujua na sasa zinasubiriwa meli za kuwasafirisha. Deal hilo limewezeshwa na kigogo mmoja serikalini akishirikiana na mfanyabiashara mwenye asili ya kiasia"
Huko ndiko tunakoelekea.

mkuu madini nayo yatarudi!!??
wanyama wetu je??
nchi hii ina hitaji mtu kama hiyo avatar yako
kama unamjua vizuri mkuu utakuwa umenielewa
kama humjui sema tu nikupe wasifu wake!!!
Sijasikia kashfa ya mabilion ya shilingi tanzania bila muhindi kuhusishwa.
mkuu madini nayo yatarudi!!??
wanyama wetu je??
nchi hii ina hitaji mtu kama hiyo avatar yako
kama unamjua vizuri mkuu utakuwa umenielewa
kama humjui sema tu nikupe wasifu wake!!!