Mhii hii namba ya gari

Ha ha ha ha... Hata mimi nisha(ga)ona VX moja la ukweli sana ila linaplate # zenye alphabet za CCM.. Loh, kama ni mimi nauza gari.
 
Hata mimi nilishawahi kuiona Vitz moja Chuga lakini ilikuwa usiku nilipoipiga picha haikutoka vizuri nikaachana nayo lakini zipo nyingi tu saizi mtaani.
 
huyu mwenye gari hii anaweza kuwa upinzani. kama ungelikuwa wewe ungefanyaje?

Mwenye namba hizi inabidi awe mwangalifu sana. Siku akisikia kuna maandamano au shughuli zozote za kichama zinazoweza kupoteza amani, asisogeze gari hili la sivyo !!!!!! pia ahakikisha ana insurance iliyoenda shule.
 
Jirani yangu anauza pikipiki yake kwa sababu ya namba kama hii,
Ameshafukuzwa vijiwe vyote na madereva bodaboda wakidhani jamaa ni ccm.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kwi kwi kwi kwi T380BAK

Ha ha ha ha... Hata mimi nisha(ga)ona VX moja la ukweli sana ila linaplate # zenye alphabet za CCM.. Loh, kama ni mimi nauza gari.
 
Mbona CUF zimejaa hamuongelei bhana. Balance.....
 
Itakuja t . 000 fuk, t.000 sex nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…