Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
mimi ndio kwanza naionaHii picha mbona imewekwa mara nyingi tu humu
Kwahiyo ulikua unasemaje?Hii picha mbona imewekwa mara nyingi tu humu
Hii isije kuwa hadithi ya kuku na yai, kipi kimeanza?ilichipukia humo ndani hata huyo mama anashangaa
Bacon ya hifadhi ya barabara ipo ndani ya nyumba!Mimi hata sijaielewa