aiseeeeeeeeee babaangu hapa rombo sijui watakuja lini??? Kila siku natembea kama sharobaro kumbe nimeadhirika na funza
ngoja nikapate mbege nitarudi kuchangia
HIGHLY DEVELOPED TRIBE IN TZ! ptuuu!
Urus are the lowest caste of the Chaggas......:becky::becky::becky:
There is no upper or lower caste in chaggan society.... we muhindi nini?
Tell me, in a normal circumstance, if an URU man can marry a MARANGU lady.........unless he is rich..... isn't that a caste system? Don't deny the fact that these things still exist
Hii nyumba ipo URU pia.......KISHUMUNDU
Thubutuuuu, Uru ndiyo kati ya sehemu zilizonyuma sana kimaendeleo mpaka sasa bado wanaishi kwenye vijumba vya mbao vilivyochoka wakati wenzao sehemu nyingine wanaangusha mijengo ya kufa mtu katikati ya kahawa.mimi ninavyosikiaga wanapasema huko nilitegemea haya matatizo waliyaacha decade kama nne zilizopita!
mkuu Safari_ni_Safari, mbona unaonekana kama vile unasema uongo, hapa sio Uwanja wa fisi/Mnyamani!???Hii nyumba ipo URU pia.......KISHUMUNDU
Akina Temba vipi tena wamedanganya nini?Nongovernmental organization (MILDMAY) officials providing treatment to wananchi who have been affected by jigers in Uru ward in Moshi rural at the weekend.
View attachment 70989
Source: The citizen
There is no upper or lower caste in chaggan society.... we muhindi nini?
mkuu Safari_ni_Safari, mbona unaonekana kama vile unasema uongo, hapa sio Uwanja wa fisi/Mnyamani!???
thank you for that, but prevention is better than treatment, wapatieni viatu vya kujisitiri miguu pamoja na elimu kuhusu madhara ya vumbi hao wachaga
Wewe una yako.HIGHLY DEVELOPED TRIBE IN TZ! ptuuu!
Source: Yaweo_Gallery