Maana hiyo ndio njia pekee ya kuendelea kuwa mbunge!Mheshimiwa spika..
Jimbo langu.Umeme hakuna,maji
hakuna.barabara mbovu...
Wananchi wanakula mlo
mmoja...lakini Naunga mkono
Hoja mia kwa mia..
MbuEng'e wa DESIGN hii kwenye katiba mpya hawana nafasi tena...Mheshimiwa spika..
Jimbo langu.Umeme hakuna,maji
hakuna.barabara mbovu...
Wananchi wanakula mlo
mmoja...lakini Naunga mkono
Hoja mia kwa mia..