Mheshimiwa Sendeka umeshindwa kwenye hoja

neindiwe

Member
Joined
May 21, 2012
Posts
33
Reaction score
22
Hivi karibuni ndani ya bunge la Tanzania Waziri wa nishati Prof Muhongo akijibu hoja mbalimbali za wabunge alitishia kutoa ushahidi juu ya matokeo ya kidato cha sita ya ole sendeka.

Na km si spika wa bunge kuingilia basi Prof Muhongo angeyataja matokeo hayo.

Cha kushangaza Ole Sendeka badala ya kujibu hoja naenda anakimbilia hoja dhaifu kabisa kuwa Prof alifeli mara sita shule ya msingi.

Mm nilitegemea sendeka hajikite kwn hoja kuu nae anakimbilia madongo. Ok.tuyachukue madongo yako kuwa ni kwl.

Tupe evidence za kutoshasha kuwa Prof amerudia mara sita na alikuwa anatumia majina yapi na ni shule zipi ambazo Prof amerudia na ni miaka ipi ili tukuelewe?

Prof alitoa ushahid wa kutosha na hata hapa jamii forum tuliona. Hiyo itatusaidia kujua ni kwa vp ww ni mtu wa hoja na evidence.
 
Hivi karibuni ndani ya bunge la Tanzania Waziri wa nishati Prof Muhongo akijibu hoja mbalimbali za wabunge alitishia kutoa ushahidi juu ya matokeo ya kidato cha sita ya ole sendeka.Na km si spika wa bunge kuingilia basi Prof Muhongo angeyataja matokeo hayo.Cha kushangaza Ole Sendeka badala ya kujibu hoja naenda anakimbilia hoja dhaifu kabisa kuwa Prof alifeli mara sita shule ya msingi.Mm nilitegemea sendeka hajikite kwn hoja kuu nae anakimbilia madongo. Ok.tuyachukue madongo yako kuwa ni kwl.Tupe evidence za kutoshasha kuwa Prof amerudia mara sita na alikuwa anatumia majina yapi na ni shule zipi ambazo Prof amerudia na ni miaka ipi ili tukuelewe? Prof alitoa ushahid wa kutosha na hata hapa jamii forum tuliona. Hiyo itatusaidia kujua ni kwa vp ww ni mtu wa hoja na evidence.
Lini Fundi akathibitisha issue za uchumi kwa kupiga kelele kuwa yeye ni mchimbaji mzuri wa miamba?Sendeka haihitaji hizo PHD na kuonyesha kuchimba mawe ili amwendeshe muhongo..in fact muhongo kalelewa ktk staili ya kuonyesha anajua kibarua ili afikiriwe...na si zaidi.Na inaonyesha fikra za ma maengineer wa mlimani na jinsi alivyovyorudirudia shule akiamini kuwa kupita level kibao ndio kila kitu.
 
Huo unaoita ushahidi wa Sendeka ku fail F VI mbona ulikuwepo hapa JF, kitambo kabla hata ya Prof Muhongo kuusema Bungeni. JF ni kisma cha habari ndio maana mawaziri wengi huingia JF kupata habari. Hata hizo habari za Sendeka, Prof Muhongo alizipata hapa JF
 
Hivi karibuni ndani ya bunge la Tanzania Waziri wa nishati Prof Muhongo akijibu hoja mbalimbali za wabunge alitishia kutoa ushahidi juu ya matokeo ya kidato cha sita ya ole sendeka.Na km si spika wa bunge kuingilia basi Prof Muhongo angeyataja matokeo hayo.Cha kushangaza Ole Sendeka badala ya kujibu hoja naenda anakimbilia hoja dhaifu kabisa kuwa Prof alifeli mara sita shule ya msingi.Mm nilitegemea sendeka hajikite kwn hoja kuu nae anakimbilia madongo. Ok.tuyachukue madongo yako kuwa ni kwl.Tupe evidence za kutoshasha kuwa Prof amerudia mara sita na alikuwa anatumia majina yapi na ni shule zipi ambazo Prof amerudia na ni miaka ipi ili tukuelewe? Prof alitoa ushahid wa kutosha na hata hapa jamii forum tuliona. Hiyo itatusaidia kujua ni kwa vp ww ni mtu wa hoja na evidence.

Mimi siyo mpenzi wa Ole Sendeka na hoja zake nyingi potofu huwa sizikubali sana. Lakini kwenye hili la kujibu hoja ilitakiwa Prof. msomi na muelewa wa mambo mengi kuliko Watanzania wote kama anavyojitanabaisha ajibu yeye hoja kwanza, halafu ndo aende kwenye personal attack. Hakujibu hoja, badala yake katumia propaganda tactics kuwatoa Wabunge kwenye hoja.
 
Kwani kufeli mtihani ndo kufeli maisha wewe na huyo Prf Muhongo wote wajinga tu mwanaume unaringia elimu kama mwananke jinga sana.
 
Hivi karibuni ndani ya bunge la Tanzania Waziri wa nishati Prof Muhongo akijibu hoja mbalimbali za wabunge alitishia kutoa ushahidi juu ya matokeo ya kidato cha sita ya ole sendeka.Na km si spika wa bunge kuingilia basi Prof Muhongo angeyataja matokeo hayo.Cha kushangaza Ole Sendeka badala ya kujibu hoja naenda anakimbilia hoja dhaifu kabisa kuwa Prof alifeli mara sita shule ya msingi.Mm nilitegemea sendeka hajikite kwn hoja kuu nae anakimbilia madongo. Ok.tuyachukue madongo yako kuwa ni kwl.Tupe evidence za kutoshasha kuwa Prof amerudia mara sita na alikuwa anatumia majina yapi na ni shule zipi ambazo Prof amerudia na ni miaka ipi ili tukuelewe? Prof alitoa ushahid wa kutosha na hata hapa jamii forum tuliona. Hiyo itatusaidia kujua ni kwa vp ww ni mtu wa hoja na evidence.
Kusoma na kuelimika ni vitu tofauti... kubobea kwenye elimu ya miamba si lazima pia kuwa mahili ni katika biashara. Kila mtu na profesion yake na kila moja ina nafasi na umuhimu wake.
 
Hivi karibuni ndani ya bunge la Tanzania Waziri wa nishati Prof Muhongo akijibu hoja mbalimbali za wabunge alitishia kutoa ushahidi juu ya matokeo ya kidato cha sita ya ole sendeka.Na km si spika wa bunge kuingilia basi Prof Muhongo angeyataja matokeo hayo.Cha kushangaza Ole Sendeka badala ya kujibu hoja naenda anakimbilia hoja dhaifu kabisa kuwa Prof alifeli mara sita shule ya msingi.Mm nilitegemea sendeka hajikite kwn hoja kuu nae anakimbilia madongo. Ok.tuyachukue madongo yako kuwa ni kwl.Tupe evidence za kutoshasha kuwa Prof amerudia mara sita na alikuwa anatumia majina yapi na ni shule zipi ambazo Prof amerudia na ni miaka ipi ili tukuelewe? Prof alitoa ushahid wa kutosha na hata hapa jamii forum tuliona. Hiyo itatusaidia kujua ni kwa vp ww ni mtu wa hoja na evidence.
neindiwe, hongera! Naona mwezi huu unatimiza miaka miwili toka ujiunge na JF. Katika hiyo miaka miwili umechangia mara 23 ikiwa ni wastani wa post moja kila mwezi! Kwa mwezi huu wa Juni umetumia hiyo fursa moja adimu kumtetea Prof. Muhongo na bila shaka hatukuoni tena mpaka mwezi wa saba. Yaonekana kuna kitu kimekugusa kweli kweli huyu mtu wako kutajwa, kulikoni? Je ni kitu gani hicho? Mbona hatuoni michango yako kwingineko?
 
Hivi karibuni ndani ya bunge la Tanzania Waziri wa nishati Prof Muhongo akijibu hoja mbalimbali za wabunge alitishia kutoa ushahidi juu ya matokeo ya kidato cha sita ya ole sendeka.

Na km si spika wa bunge kuingilia basi Prof Muhongo angeyataja matokeo hayo.

Cha kushangaza Ole Sendeka badala ya kujibu hoja naenda anakimbilia hoja dhaifu kabisa kuwa Prof alifeli mara sita shule ya msingi.

Mm nilitegemea sendeka hajikite kwn hoja kuu nae anakimbilia madongo. Ok.tuyachukue madongo yako kuwa ni kwl.

Tupe evidence za kutoshasha kuwa Prof amerudia mara sita na alikuwa anatumia majina yapi na ni shule zipi ambazo Prof amerudia na ni miaka ipi ili tukuelewe?

Prof alitoa ushahid wa kutosha na hata hapa jamii forum tuliona. Hiyo itatusaidia kujua ni kwa vp ww ni mtu wa hoja na evidence.

Sasa na wewe ndugu unavyoshadadia matokeo ya shule ya hawa mabwana yakwako yamekaaje? Nadhani bado hekima inahitajika sana mtu unapopima suala la uongozi katika mataifa ya kiafrika kwa kigezo cha elimu ya mkoloni! hapa ndipo napogundua wengi wetu ni watumwa wa mkoloni Mzungu kwa kuegemea taaluma zao! MUNGU alipogawa haya mabara aligawa na vipawa (yaani taaluma) kuendana na mazingira na binadamu aliowaweka humo! hii kuiga iga tamaduni za kigeni ndio chanzo cha umasikini Afrika! haya nyie mlio faulu sana kwenye hiyo taaluma ya mzungu mko wapi kama sio mnaishi ndani ya bara hilo hilo na nchi hizo hizo masikini!(ila mmejitenga nasi) kuwa na vigari, kativii sijui na kafriji ndio mnajitamba mmesoma eti mnaelimu! nasema hivyo kwasababu ninauhakika zaidi ya mishahara mikubwa ya kibinafsi hakuna mnachoweza kubuni cha kwenu! hamna kitu hapo mngetengeneza vyote hivyo kabla ya hao wakoloni leo na nyie mngejisifu na ujuzi wenu bali mnaishia kuwa wanunuzi na kukremishwa mavitabu na mavitabu mnavyosema sasa mmesoma! Uongozi katika Afrika siku zote na mpaka mwisho wa hii sayari misingi yake ni HEKIMA na BUSARA pamoja na mila na desturi zetu, hapo kuelewana na kushikamana kwa muafrika kutaonekana ila tukiendelea na hizi falsafa za u DOCTOR NA UPROF hakuna jipya zaidi ya KUJIINUA NA KUJITENGA (UBINAFSI). Hata MUNGU ukifuatilia katika vitabu vitakatifu alifanya kazi kwa karibu sana na tena sana tuu na watu waliokuwa na HEKIMA na BUSARA! mfugaji na mchunga kondoo kama Mfalme DAUDI huwezi kumlinganisha na msomi asiyekuwa na HEKIMA!
 
Mkuu shukrani sana sana. Hii ni "master piece" katika kuelezea dhahama inayolipata taifa letu Tanzania na Afrika kwa ujumla. Laiti waafrika wengi tungelitambua ili... bahati mbaya nyakati zinatutupa mkono. Kwa mara nyingine asante sana.
 
Muhongo ni msomi asiyeelemika.ni aheri ya f6 felias anayetetea jamii kuliko muhongo mwangamizaji.
 
Lini Fundi akathibitisha issue za uchumi kwa kupiga kelele kuwa yeye ni mchimbaji mzuri wa miamba?Sendeka haihitaji hizo PHD na kuonyesha kuchimba mawe ili amwendeshe muhongo..in fact muhongo kalelewa ktk staili ya kuonyesha anajua kibarua ili afikiriwe...na si zaidi.Na inaonyesha fikra za ma maengineer wa mlimani na jinsi alivyovyorudirudia shule akiamini kuwa kupita level kibao ndio kila kitu.

Sendeka anatumiwa na mafisadi walogonga mwamba kwa prof.mhongo
 
Mag yaan hautaki nionyeshe kuwa niko upande gani? Niko wazi upande wangu ni Prof muhongo. Ametusaidia sn suala la umeme. Sendeka ametumwa tu na watu. Mwacheni prof hachape mzigo.
 
Muhongo anatumiwa na nani?Muhongo ni "fundi tuu ten akibarua" halfu ana upuuzi wa pale UDSM engineering ...ile michezo yao sijui ya ungwini na nini huwaaharibu sana ma engineer..wakitok apale hata wakiwa bar hawana story za issue kubwa wengi ni kujifagilia wlipata sijui A-Ngapi sijui walipiga degree gani super,sijui walipita shule gani....Muhongo nae watu wamkosea sana ana akili za shule...ana akili za vibarua mafundi..mimi nimefanya na mafundi..na vibarua wao..ukitaka shida waambie shilllinga ngapi umechukua ktk mkataba...km haujatangazwa ktk media..ni bora usiwaambie km ni contractor....hawatafanya kazi tena...na sehemu ya strategic plannning,au busines plan usiwaite akili zai si kubwa za kuweza manage watu,mali uwekezaji, na issue nyingine za kijamii....akili zao ni jinsi wamebobea ktk vibarua....NDIO MAANA haikuwa hata sahihi kumweka Mengi na kibarua muhongo ambaye hajawaji hata kujua bei ya Digger...sasa mnamwambia bei za Migodi ..kichaa itammpanda anadhani kuwa yeye prof kashindwa watu wengine wasio maprof hawatakaa waweze....
 
Aha...CCM mnaendeshwa na story km za vijana wavivu kufikiri waiwa pub..Nasikia jamaa kuna issue fulani aliiziba ..ndio maana jamaa wanmmind..si unajua mjini hapa.Halfu jamaa nasikia kichwa haswa....kashuka data kweli nimesikia leo..."aha hujaona cheki face book..anacheki postinga ya gamba fulani ya kijinga km Ritz unasikia em bwana eh prof anshuka nondo.dio kweisha hapo ndio kasoma na kupata ushahidi...NA wewe nikuulize kakusaidia nini ktk umeme..kaleta mvua?yey ndio obama katoa pesa...?Kwani km hakuwepo CCM ndio wsingeleta umeme?kwanini usijiulize kuwa shida ni CCM ...?a mhongo ni fundi km wengine tuu..na laichofanya dhidi ya wawekezaji wazawa ni km kumwita kichaa ktk boardroom?
 
porojo zote hizi kumbe ni ili upate justification ya kumtetea mengi? pyuffff!

Muhongo anatumiwa na nani?Muhongo ni "fundi tuu ten akibarua" halfu ana upuuzi wa pale UDSM engineering ...ile michezo yao sijui ya ungwini na nini huwaaharibu sana ma engineer..wakitok apale hata wakiwa bar hawana story za issue kubwa wengi ni kujifagilia wlipata sijui A-Ngapi sijui walipiga degree gani super,sijui walipita shule gani....Muhongo nae watu wamkosea sana ana akili za shule...ana akili za vibarua mafundi..mimi nimefanya na mafundi..na vibarua wao..ukitaka shida waambie shilllinga ngapi umechukua ktk mkataba...km haujatangazwa ktk media..ni bora usiwaambie km ni contractor....hawatafanya kazi tena...na sehemu ya strategic plannning,au busines plan usiwaite akili zai si kubwa za kuweza manage watu,mali uwekezaji, na issue nyingine za kijamii....akili zao ni jinsi wamebobea ktk vibarua....NDIO MAANA haikuwa hata sahihi kumweka Mengi na kibarua muhongo ambaye hajawaji hata kujua bei ya Digger...sasa mnamwambia bei za Migodi ..kichaa itammpanda anadhani kuwa yeye prof kashindwa watu wengine wasio maprof hawatakaa waweze....
 
mleta mada una akili ndogo sana,unataka GT tubariki siasa za maji taka?anzia kwny hoja ya awali ya Sendeka then uje useme kama Muhongo aliijibu,useme pia kama kuzungumzia ufaulu wa mtu ndio lilikuwa jibu sahihi la hoja.Vijana na CCM ni punguani
 
Kwl ww una akili ya okwi na boban.Huyu sendeka mnayemtetea Ana muda mrefu sn kwn ubunge. Lakini anachofanya kwn ubunge ni kutumika tu.Miaka yote amesaidia nn? Naona watoa mada wengi wanapenda wabunge wanaotumika na si watekelezaji. Prof anapiga mzigo wa uhakika na hana longo longo. Wabongo mmezoea longo longo miaka yote mnafurahi sn.Mawazir kibao wamepita hapo na hakuna walichofanya. Tuelemikike wabongo tuache kutumika tu. Mwachen Prof achape mzigo hao kina sendeka miaka yote wanatumika tu ila wanajifanya watetezi kumbe hakuna kitu.
 
porojo zote hizi kumbe ni ili upate justification ya kumtetea mengi? pyuffff!
Si mbaya mwehu km wewe ukionyesha kuwa ulichokuwa uki scan ndio hicho tuuu.Sendeka ktk kupanga ni issue kubwa zaidi ya ufundi ni mzuri kuliko huyo kibarua.Kwa Mengi ni mbali sana...ndio maana nawaona kuwa nyie ni wehu kumfananisha anayetaka kibarua na anayetaka kuajiri.
 
Back
Top Bottom