Mheshimiwa samwel sita aluta continua

Mheshimiwa samwel sita aluta continua

Novatus

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2007
Posts
330
Reaction score
38
Natoa pongezi nyingi za dhati kwa wewe mzalendo wa kweli. mapambano ya UFISADI yaendelee hata kama kuna mbinu za kukunyamazisha. Hivi hawa mafisadi wanaona kila mtanzania ni mjinga? It is enough lazima dawa itafutwe tukomeshe udhalimu huu
 
Ninachjua akiendelea na msimamo kama alipokuwa spika basi watampotezea asilani na hatutomsikia tena
 
Watampoteza kwenye uwazili na sio kwenye ubunge
 
Back
Top Bottom