Mheshimiwa Rais Samia bado angali hai

Mheshimiwa Rais Samia bado angali hai

Good to hear ....Mkuu

The Problem with Younger Generations

Younger generations often believe they have more information than we did in the past, simply because it’s all available at their fingertips. While having easy access to information is a great advantage, the real issue lies in the fact that information without understanding is meaningless. It's not enough to just have the information—you need to understand it and know where it's coming from
 
HAYA LAND
Umekuja baada ya kufanya utapeli mwingi hapa jamii forums
Hayaland mbona ni mtu mwema na mzurii sana kwenye kuchambua mada na kushaurii..

😁Sema Huwa anaupigaga mwingi na kukabia kwa juu..na mashutii zaidiii ya Wayne Rooney..

Angalizo: Kuna muda watu waliwai nishambulia na kusema pia hii ni ID's yake wapo member ambao tuna contact nao through phones wakanitetea👿👿👿
 
Ndugu zangu wana JF natumaini mko wazima wa afya.

Leo Mheshimiwa Raisi ameonekana ni mzima. Kwa wale ambao walijipanga, walijiandaa au kutunza Pesa kwa ajiri ya kulewa na kuumwagilia moyo juu ya kifo cha Mheshimiwa Raisi, poleni sana kwa maana ya njia za Mungu sio za Binadamu.
Msife mioyo, nina ushauri juu ya hizo Pesa, mnaweza kuzitumia kwa namna nyingine mfano;
  • Kuchangia yatima,
  • kuongeza mitaji, ikiwa mitaji midogo,
  • Au kuwatumia wazazi wafurahi msimu huu wa sikukuu,
  • Kuwasaidia masikini ikifaa,
  • Na shughuli zingine zinazofaa au zinazompendeza mungu.
La mwisho;
Tuombeane mwisho Mwema Ndugu na Dada zangu kwa maana sisi tu wasafiri humu ulimwenguni.
Usije kushangaa, kesho usimwone tena na ikawa moja kwa moja...

Kwa upande wangu I don't even want neither see or hear her irritating voice anymore...

Na mimi ofcoz nimemwona. Lakini she was not herself. Anaonekana ni very unconfident, mwanake mwenye kuweweseka, aliyejaa mashaka na hofu kuu...

Obvious, amekula sindano nyingi sana za kumfanya aamke inagalau aonekane kwenye tukio hili...

I will not be surprised this one be her last open event to be seen

Ni ajabu kuwa watu waliompigia kura 98% sawa na Watanganyika 32,000,000 wamemgeuka mchaguliwa wao kiasi cha kumuombea kifo kimpate haraka bila kuchelewa...!!
 
Embu tuone itakuwaje hapo mbeleni.
 
Ndugu zangu wana JF natumaini mko wazima wa afya.

Leo Mheshimiwa Raisi ameonekana ni mzima. Kwa wale ambao walijipanga, walijiandaa au kutunza Pesa kwa ajiri ya kulewa na kuumwagilia moyo juu ya kifo cha Mheshimiwa Raisi, poleni sana kwa maana ya njia za Mungu sio za Binadamu.
Msife mioyo, nina ushauri juu ya hizo Pesa, mnaweza kuzitumia kwa namna nyingine mfano;
  • Kuchangia yatima,
  • kuongeza mitaji, ikiwa mitaji midogo,
  • Au kuwatumia wazazi wafurahi msimu huu wa sikukuu,
  • Kuwasaidia masikini ikifaa,
  • Na shughuli zingine zinazofaa au zinazompendeza mungu.
La mwisho;
Tuombeane mwisho Mwema Ndugu na Dada zangu kwa maana sisi tu wasafiri humu ulimwenguni.
Mwambieni aachie JF msipate tabu kuingia humu na nyinyi chawa mnautumia huu mtandao kueneza propaganda zake.
 
Watu bwana,kwani kuna mtu alikwambia amekufa?

Kama yeye kuonekana bado hai inashangaza basi itashangaza zaidi kwa wale waliopotelewa na ndugu zao baada ya 29th Oct kuwakuta wakiwa bado hai kama yeye.
 
Back
Top Bottom