Mheshimiwa Rais, kuna haja ya kwenda Botswana uweze kujua mbinu walizotumia kufikia uchumi wa kati.

Musoma Yetu

JF-Expert Member
Mar 11, 2016
2,629
2,288
Botswana ni nchi ndogo, lkni wapo ktk uchumi wa kati. Ni mbinu gani walizotumia ili nchi kufika uchumi wa kati? Kuna haja serikalini ya awamu ya tano kama kweli tunataka uchumi wa kati, kuna cha kujifunza kutoka kwa watu hawa. Leo hii Botswana kuna viwanda vingi sana vya China. Inaitwa China ndogo, kwa sababu hakuna haja ya kufata mzigo China, wkti kila products inapatikana nchini.
 
Back
Top Bottom