Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli something is wrong here!

Wamekufa watu wangapi kabla ya hawa, kusikitika kiubinadamu ni sawa lazima tuumie, ila hili la kusema jamaa anakwepa misiba mi sawaelewi. Kwani uwepo wake ungepunguzaje majonzi?

Kabla ya kukujibu swali lako la ' Kipumbavu ' kabisa kuwa uwepo wake ungepunguzaje majonzi mtafute hapo karibu Mtu unayedhani anakuzidi au amekuzidi ' akili ' kisha muulize nini maana ya ' Rais ' na huwa ana ' umuhimu ' gani kwa Wananchi alioapa kuwatumikia pindi wanapokumbwa na matatizo / majanga kisha akishakujibu rudi hapa tena Kwangu ili nikufundishe sasa jinsi ya kufikiri na kujenga hoja pengine siku nyingine usije ukawa ' Kichekesho ' kwa Great Thinkers ' tuliotukuka '.
 
KUNA WATU WANAJITOA UFAHAM HUMU....HATA KAMA MTU KAONGEA KITU CHA MAANA LAKINI LAZIMA WAPINGE....HAYA NGOJA TUONE MWISHO WAO
 

Bora hakuhudhuria maana zile sentensi za ..'Kwani ajali ililetwa na SERIKALI' zingetawala leo.
 
Alikuwa anaangali kupitia TV
View attachment 506605

Kuna Watu wanajua ' kufunguka ' jamani tena bila ' uwoga ' na ' mubashara ' kabisa. Hilo jibu la huyo ' Jamaa ' nina uhakika kabisa kuwa yawezekana sasa hivi ' anatafutwa ' akatoe maelezo zaidi. Kwa ' Wabobezi ' wa lugha za ' Kifalsafa ' hilo jibu la ' Dogo ' ni tusi moja kubwa mno japo ameliwasilisha ' Kidiplomasia ' zaidi.
 
Mi nadhani mh JPM anajaribu kurudisha hadhi ya urais pale ikulu, ikulu ilishafikia hadhi ya kituo cha daladala hata mateja walikua wanaenda kupiga selfie na chata. Hata kwa wakatoliki cardinal, askofu,papa ni watu adimu kuonekana makanisani.
 
Tanzania tuna watu wa ajabu sana kazi kutafuta kasoro feki kila kukicha! Kumbuka Uraisi ni taasisi ,ni ofisi, na ndo maana ana wasaidizi wengi ili wamsaidie katika ujenzi wa taifa , na taaisisi hiyo tayari ilikuwepo pale msibani. tatizo ulitaka kuona kipara cha JPM upate la kuandika, bora amebaki huko dar! wazushi hamuachi kuandika upupu!
 
Mi nadhani mh JPM anajaribu kurudisha hadhi ya urais pale ikulu, ikulu ilishafikia hadhi ya kituo cha daladala hata mateja walikua wanaenda kupiga selfie na chata. Hata kwa wakatoliki cardinal, askofu,papa ni watu adimu kuonekana makanisani.
 
Nimekuwa nikimfuatilia sana mleta mada, mara ajiite mnyarwanda wa gitale, mzanaki wa mara, aliitetea ccm enzi zile za uchaguzi ni balaa, lakini hivi karibuni ukifatilia mada zake utagundua kuwa anasoma number tena za Kirumi sasa hivi, teuzi zimepita kushoto, tulia mkuu magu atakukumbuka tu usihofu.
 
Mi nadhani mh JPM anajaribu kurudisha hadhi ya urais pale ikulu, ikulu ilishafikia hadhi ya kituo cha daladala hata mateja walikua wanaenda kupiga selfie na chata. Hata kwa wakatoliki cardinal, askofu,papa ni watu adimu kuonekana makanisani.

Unaweza kweli ukawa na ' Hoja ' ila katika hili nadhani ' umekengeuka ' Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…