Mheshimiwa na baiskeli ya kike!!

Mkuu soma vizuri ndio utaona tatizo la heading na mtazamo wako usio sahihi. Hata hiyo link uliyoweka inaonyesha wewe bado unatumia vigezo vya tradition na definition zilizotumika wakati wa past na si present.

Ndio maana nasema mtu kama wewe ukipewa maamuzi ya kumnunulia waziri wa kiume gari hutaunua vitara just bcs traditionaly watanzania waniita kitcehn party . Tubadilike

Hizo unaziita za zike zinaweza kuwafaa wamasai wa kiume wanazovaa mavazi yao ya asili. so mavazi ndo yaweza kudetermine baiskeli gani inafaa sio jinsia . Soma vizuri link uliyoweka
 
Mleta maada hauna adabu! Nenda ulaya uone jinsi ambavyo baiskeli zinavyosaidia watu kuwahi mishemishe! Hakuna baiskeli ya kike wala ya kiume duniani.
 
Ok let say ni ya kike, So what is the big deal??!!!
 
Mkuu mimi ntofautiana kidogo, kwa nchi ya Holland baiskeli zao karibu zote ziko hivyo na ni kama national symbol. So pengine muheshimiwa alikuwa amepanda Dutsch bike.

Mcheki huyu jamaa akikatiza mitaa ya Amsterdam.
 
Baskeli ni baskeli tu muhimu kurahisisha usafiri,baskeli km hiyo ipo ndani na unataka kuwahi utaacha kuchukua sababu ni ya kike?hiyo ya kiume hamuna halafu mnaitia jinsia iliyopo.
 
Baskeli ni baskeli tu muhimu kurahisisha usafiri,baskeli km hiyo ipo ndani na unataka kuwahi utaacha kuchukua sababu ni ya kike?hiyo ya kiume hamuna halafu mnaitia jinsia iliyopo.

Huyu mleta madahana tofauti na wale tunoashangaa narudia ten akiwa huyu jama amepwa mamlaka ya kumhagulia wairi gari la utumia. evryne can guess atachagua gari gani?

Alafu unaona kapotea kimya kimya kimya bila bila ujibu au kukiri kuwa alikosea same as wanasiasa they never wrong. sababu majina yenu yanaendana jaribu kumshauri huyo babu mwenzako teh teh teh
 
Mkuu mimi ntofautiana kidogo, kwa nchi ya Holland baiskeli zao karibu zote ziko hivyo na ni kama national symbol. So pengine muheshimiwa alikuwa amepanda Dutsch bike.

Mcheki huyu jamaa akikatiza mitaa ya Amsterdam.
Wanaume Scotland kuvaa sketi ni moja ya utamaduni wao aimaanishi pia mwanaume Tanzania kuvaa sketi ni sawa
 
Dunia ina mambo jamani...kumbe zipo za akina fulani pia!! Hapo basi tungemtafutia Guta (baskeli za miguu minne) pengine zile ndio za kiume........
 
Ni baiskel fulstop, ya kiume au ya kike huo ni mtazamo wa mtu,
 
Baskeli ni baskeli tu muhimu kurahisisha usafiri,baskeli km hiyo ipo ndani na unataka kuwahi utaacha kuchukua sababu ni ya kike?hiyo ya kiume hamuna halafu mnaitia jinsia iliyopo.
Stiletto heel ni viatu, Babukijana pia anaweza kuvaa kwa sababu viatu ni viatu?
 
Ni baiskel fulstop, ya kiume au ya kike huo ni mtazamo wa mtu,
Nyie ndio wale mkipenda chongo mnaita kengeza.Unajua ni kwa nini wali design hiyo baiskeli hivyo?
 
ndio maana yake, yakwendea sokoni kununua mchicha na nyanya!!

mgando kweli kweli, fikra za mbongo kuelekea huko walipo wenzetu bado ni safari ndefu sana, ukitaka kuhakikisha angalia angalia topic zote wanazojadili humu na linganisha na forum za nchi zzingine, sina uhakika walio hapa wana umri kuanzia mika mingapi ila safari bado ndefu, huko gorofani (kichwani) na wapangaji wake, kazi ipo, nisiseme sana lbda kuna eneo lingine watu wanafanya mambo yaliyonyooka na ya kikubwa.
 
Mawazo yako pia yana heshimiwa.
Kwenye hizo FORUM ZA NCHI NYINGINE hauja jifunza kujenga hoja!!
 
Kiukweli kabisa, Bwana mkubwa kachomekewa. Mbona hao Wakoloni hawaonekani kuendesha zenye vikapu ? KACHOMEKWA KUBALI TU KAKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…