M'bongo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2011
- 265
- 302
WanaJF, ni muda nimekuwa siingi humu lakini leo imenilazimu hasa kutokana na hii habari ya uhakika niliyopata kutoka nyumbani TZ kwamba mheshimiwa waziri anayeutaka urais kwa sasa ameelekeza nguvu zake kwa wasanii hasa wa kundi la bongo movies akidhani kuwa wana ushawishi mkubwa wa kumfanya akubalike kwenye jamii. yeye na timu yake (majina ninayo) wanatumia kila njia kuhakikisha hakuna skendo inayojulikana kumhusu kijana steve mengere aka Nyerere kwa kila hali, na sasa amemwambia atafute passport (kumbe hakuwa na passport huyu kijana) ili ampeleke Dubai yeye na wasanii wengine wawili (majina yote ninayo) kwa ajili ya kutoa tongotongo.
Bahati mbaya sana (sijui kama mheshimiwa anajua au washauri wake hawamwelezi ukweli) ni kwamba huyu steve (ukiacha hao wengine wawili ambao hawahusiani na kundi la bongo movie) amekuwa fisadi wa kutupwa, ziro kichwani, mgonjwa,na amesababisha kundi lao kwa sasa kumeguka vipande sababu ya ufisadi. katibu wake bw. mtitu kajiuzulu. kisa? steve amekula pesa zilizochangwa kwa ajili ya msiba wa msanii mwenzao Recho Haule shilingi milioni 11, amekula pesa za tamasha la matumaini milioni 7, ana skendo ya vimada wanne hapo bongo movie ambao amewapangishia nyumba kwa pesa anazopata kutoka kwa waheshimiwa hawa wenye kutaka kwenda ikulu, na pia kapiga hela nyingi sana juzi kwenye hicho alichokiita kuwaombea wasanii waliotangulia mbele ya haki. Ndio maana wenzake wakamsusia.
Na wasipokuwa makini hivi karibuni litafumuka skendo kuubwa kumhusu huyu kijana ambayo haitamwacha salama mheshimiwa. swali la kujiuliza: hivi mheshimiwa ana uhakika steve ana ushawishi wa kumfanya awe presidaa wa nchi hii? je, anajua kwamba huyu kijana amekuwa akivuta pesa (nyingi) kwa mpinzani mwenzake kisiasa?