mheshimiwa Lowasa na mkakati wa kujipatia umaarufu kupitia mabomu G'mboto.

Titans

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,459
3,366
mi nina shangaa sana niliposikia eti mheshimiwa na kamati yake wanataka kuziadhibu hospitali binafsi kwa kushindwa toa msaada wakati wa mabomu kule G'mboto,inakuaje serikali inataka hisani kwa hospital binafsi???kusaidia au kutokusaidia sio la lazima,mbona serikali haikutoa magari kwenda ku-vacate watu wakati wa mabomu????hizi zima moto sio nzuri wana JF.
 
Back
Top Bottom