Mhe. Wassira anapokua msemaji wa CHADEMA...

Nasikia kuna kampuni linataka limwajiri kwenye kliniki yao kwaajili ya kunyamazisha watoto pindi wanapolia kwani mtoto akiambiwa mzee wa gombe huyo nyamaza!!!! akimuona lazima anyamaze kutokana na huo msura mzito kama zege

Baba yako na Babu yako ni wazuri kiasi gani kwa nini wao wasiajiriwe hapo
 
Hivi wassira naye bado ni mtu wa kutiliwa maanani?
Nadhani hata uwezo wake wa kufikiri na kutathmini siasa umekwisha kabisa, kwahiyo akilala ,akiamka anaiona Chadema ikichukua uongozi wa nchi, sasa analazimika kuongea lolote linalomjia kichwani bila kutafakari.

Juzi tu amezomewa sana na wananchi wa jimboni kwake bunda, sasa kwanini asirukwe na akili? hiki kimbunga cha M4C kinawatisha nyinyiem na hivyo wanajikuta wanajiropokea tu bila kujua wanaongea nini.

Huna tofauti na Kichaa, Wasira amewumiza, fuatilia mijadala juu ya M4C inajadiliwa tofauti kabisa tena kwa uangalifu mkubwa, kwa kauli ya Wasira watu wamegundua CDM ni danganya toto.
 
Yupi mkuu, au ndiye huyu hapa?
View attachment 55609
Hapana ni huyu hapa..... Wasira.jpg
 
Nasikia kuna kampuni linataka limwajiri kwenye kliniki yao kwaajili ya kunyamazisha watoto pindi wanapolia kwani mtoto akiambiwa mzee wa gombe huyo nyamaza!!!! akimuona lazima anyamaze kutokana na huo msura mzito kama zege

Yaani hata km unastress,ukiingia hum lzm ucheke na stress ziishe......ha ha ha
 
Huyu mzee ameishiwa hoja, ndiyo matatizo ya kutokuwa na uwezo wa kusoma alama za nyakati, huyu dingi angetambua toka ujana kwamba kuna wakati ukifika aache siasa angeheshimika sana, sasa ana mawazo ya kutawala milele wakati, fikra na hoja zake zote ni pumba tu, yaani kila akiongea utadhani loti la kifusi limepita limeacha VUMBI tu.
 
'' Mchele umepanda bei kwasababu vijana wanapenda kula ubwabwa sana badala ya ugali kama enzi zetu''.....Wasira
 
alikuwa anatafuta jukwaa la kuiponda CDM bila kuzomewa akalipata thats why..........waziri elezea achievement za serikali tujue ndo binafsi ninachotamani
 
If i leave my comment here, it will appear "this message has been deleted by Paw". So, let me not comment.........
 
Nimeumia sana kwa kitendo ulichofanya, ningekuwa na UWEZO LEO ningeifuta JF.
Mungu yupo atalipa.
chuki , Mkuu Mbona wewe hufanani na Dingi ako Wasira, au Maza alicheza faul
 
Last edited by a moderator:
I was really suprised to hear Wassira talking about party politics kwenye kile kipindi, tena akitumia muda mwingi kuwaponda chadema, because aliitwa kwenye kipindi kama waziri wa serikali na si kama kada au kiongozi wa CCM. Watu tunataka kusikia mambo ya msingi yaliyofanywa na serikali katika wizara yake, yeye kila baada ya dakika tatu "chadema, chadema". Thats too low to be honest!!!!! Kama mawaziri wenyewe ndo hawa, no wonder we are poor.... Tena huyo ni Senior Minister..........!! Kazi kweli kweli.............
 
Swali ambalo anatakiwa kuwaambia watanzania Change ya Stimulus Package amerudisha?
 
Back
Top Bottom