Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 401
Kama Jaji Mkuu na Kama Mwanasheria Mkuu wa zamani wote wanasema hakuna makosa wale wabunge wa Chadema walioamua kupingana na chama chao wataonekanaje? Itakuwaje kwama Wereme na Spika naye atakiri kuwa Chadema walitumia haki yao? hawa wabunge wengine wataonekana vipi kutosimama na wenzao wakati historia imewaita hivyo?
Tatizo la watanzania tulowengi hatupendi kusoma ili kupata ukweli tunafanyia kazi maneno ya kufikirika bila kuangalia uhalisia wa mazingia ya wakati uliopo.
Kama Jaji Mkuu na Kama Mwanasheria Mkuu wa zamani wote wanasema hakuna makosa wale wabunge wa Chadema walioamua kupingana na chama chao wataonekanaje? Itakuwaje kwama Wereme na Spika naye atakiri kuwa Chadema walitumia haki yao? hawa wabunge wengine wataonekana vipi kutosimama na wenzao wakati historia imewaita hivyo?
Mkuu, kwanza sioni issue hii ni mpaka isemwe na mwanasheria mkuu wa zamani au jaji mkuu, wengi tunauelewa kiasi wa kanuni na sheria, kwa kwa uelewa huo kiasi tunajua kuwa hakuvunja sheria wala hawakukiuka taratibu. Nina hakika hata Spika na katibu wa bunge wana busara za kutosha, vinginevyo wangechukua hatua mapema sana.
Pili, tunafahamu kuwa CHADEMA is not a bunch of thugs ni watu wazima vichwani kwa hiyo wasingeweza kufanya ujinga, na kukidhalilisha chama.
CHADEMA walipiga kura, na kwenye upigaji kura kuna waliopiga kura ya ndio na walipiga kura ya hapana. Kwa kuwa wengi wape, hata waliokataa walilazimika kufuata uamuzi wa wengi. Sioni kama kuna ubaya au kuna utata.
Inawezekana kuwa waliopinga walikuwa na sababu nzuri ya kupinga, na waliokubali walikuwa na sababu nzuri ya kukubali.
Lakini waliopinga walitumia busara zaidi, kufuata msimamo wa uamuzi wa walio wengi.
Waliochemka ni wale waliokurupuka na kuanza kuongea ovyo na kujidhalilisha, hata Rais pia alikosea kuongea issue ya kuwa watake wasitake.. Ilikuwa busara kama angekaa kimya tu kuliko aliyoongea. Angetafakari baada ya hotuba yake, na kutafuta proper channels za kuongea, otherwise ndio mambo yale ya mipasho.
Tena bora chadema wanatumia democracia zaidi,ccm mara nyingi wanapitisha tu na wakipitisha huo ndio unakuwa msimamo wa chama,sasa huyu zitto anadhani yeye ni muhimu sana ,aame tu chama kama hawezi kufuata msimamo wa chama ambao umeamuliwa na wengi
Kama Jaji Mkuu na Kama Mwanasheria Mkuu wa zamani wote wanasema hakuna makosa wale wabunge wa Chadema walioamua kupingana na chama chao wataonekanaje? Itakuwaje kwama Wereme na Spika naye atakiri kuwa Chadema walitumia haki yao? hawa wabunge wengine wataonekana vipi kutosimama na wenzao wakati historia imewaita hivyo?
Kwa hiyo tuseme Zitto ana wenge? Au na yeye hakuisoma vizuri katiba? Kwanini anawachanganya watu vichwa kwa kusema hakubaliani na matokeo huku anapinga kutoka nje ya bunge?
Kwa maoni yangu huyu jamaa anaijua vizuri katiba, anafahamu kanuni za bunge, anafahamu kuwa kutokumsikiliza rais hakuna kipengele walichokosea. Ila nahisi anatumiwa na CCM kutaka kuleta mgawanyiko.
Mbaya zaidi anapenyeza mambo ya udini. Hivi ni waislamu tu ndiyo wameona kuna udini? Nchi hii itafikia watu watachaguliwa kutokana na dini zao, kutokana na tabia ya waislamu kupenyeza mambo ya udini.
Napenda kutoa wito kwa viongozi wa CHADEMA kumdiscipline zito kwa kauli zake, bila kuogopa chochote, katika chama kinachojali democrasia kuchukua hatua ni jambo la kawaida bila kujali nafasi aliyonayo ndani ya chama.
Zitto anataka kupoteza umaarufu alioupata kupitia chama.
Ni bora wangekaa kimya kuliko kuanza kupayuka kwenye vyombo vya habari, ooh mimi sikukubaliana, tulipiga kura. Ilitakiwa kwenye kikao hicho wakubaliane kuwa kama huaiki usiingie bungeni na ukae kimya uache wale walioafiki waemdeleza agenda ya chama.
Huu sasa ni mwanzo wa mgawanyiko ambao CCM inaulilia sana utokee ili 2015 wawe na la kusema. CHADEMA ni chama si watu, kama kuna mtu anajiona yeye ni bora zaidi ya chama hafai. Watanzania hawaangalii mtu wanaangalia watu makini na ukisema watu makini unaamanisha chama kwa ujumla.
Kwa hiyo tuseme Zitto ana wenge? Au na yeye hakuisoma vizuri katiba? Kwanini anawachanganya watu vichwa kwa kusema hakubaliani na matokeo huku anapinga kutoka nje ya bunge?
Kwa maoni yangu huyu jamaa anaijua vizuri katiba, anafahamu kanuni za bunge, anafahamu kuwa kutokumsikiliza rais hakuna kipengele walichokosea. Ila nahisi anatumiwa na CCM kutaka kuleta mgawanyiko.
Mbaya zaidi anapenyeza mambo ya udini. Hivi ni waislamu tu ndiyo wameona kuna udini? Nchi hii itafikia watu watachaguliwa kutokana na dini zao, kutokana na tabia ya waislamu kupenyeza mambo ya udini.
Napenda kutoa wito kwa viongozi wa CHADEMA kumdiscipline zito kwa kauli zake, bila kuogopa chochote, katika chama kinachojali democrasia kuchukua hatua ni jambo la kawaida bila kujali nafasi aliyonayo ndani ya chama.
Zitto anataka kupoteza umaarufu alioupata kupitia chama.
Wabunge wengine kama Zitto ni watu wanafiki kabisa, haeleweki na hayuko pale kwa chama yeye ni mbinafsi sana anasaidia CCM. kama vipi Zitto jitoe chadema usishike wabunge wengine miguu.