mshumbue-soi
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 1,842
- 1,148
Wanajamvi kazi kwetu anahojiwa na Buhohela
Tumsikilize tuwajuze wasiotazama
Anasema mpaka wamechukua hatua ya kuwachapa mijeledi wamekanywa sana
Anazungumzia mchakato haujawaridhisha tangu mwanzo mpaka sasa kwa kuwa sio wa wazi zaidi au wa democrasia
-Wajumbe wa katiba ni kwa mapenzi ya rais wa ccm wakati bunge la katiba linatakiwa upatikanaji wa wajumbe uwe wa wakushirikisha wananchi
-Kenya hawakuchaguliwa wajumbe na Rais hivyo katiba inayotokana na maamuzi ya rais nani awe mjumbe ni ya ajabu sana.
update
-Muafaka wa kitaifa ili bungeni kusiwe na vurugu au kutoelewana ulitakiwa ujengwe kwenye sheria hasa uteuzi wajumbe wateuliwe na taasisi husika ndivyo ilivyokuwa kenya
-Utaratibu wa sasa hauaminiki ni maajabu watu sasa ni katiba hawajadili kwenye magazeti, redio makongamano ni katiba gani kimya kimetawala tatizo tumenyimwa elimu na wahusika ingawa kisheria hatujazuiwa kujadili mfano Kenya walijadili miaka miwili mkutano wa taifa ndipo bunge.
-Wageni nao wanashangaa hatujadili katiba wakati ni muda mw
Kelele na vurugu zetu bungeni tukatukanwa sana ndizo zimeleta tume ya warioba yenye afadhali
-Kelele zetu zimeongeza wajumbe na mchakato ukarekebishwa sana sio kama nasi tungepiga makofi
up date
-Mchakato umekimbiswa sana due to hamna elimu kwa umma wala maoni hayajachukuliwa kwa jinsi burget ilivyotengwa zoezi lingechukua hata mwaka mzima ingeweza kufika hata kila kijiji ukiangalia na wa mabaraza siogopi ni wa HOVYO SANA
UPDATE
-Kabla ya 2015 tunaweza rekebisha hasa tume ya uchaguzi kidogo na ikatuchukua miaka 2 kurekebisha tume mzima mpaka chini sio huru mkurugenzi anayepokea maagizo ya Waziri mkuu naye anahusika na uchaguzi
-Mapendekezo ya tume kwenye uchaguzi ni mazuri
Ila kukamilisha katiba kwa muungano wetu miaka 4 ya warioba inatosheleza
Up date
TUMEKOSEA WAPI WATU KUJICHUKULIA SHERIA?
-Nadhani 1962 hatukuliweka kwenye marekebisho tukawa na Rais wa kifalme mwenye mamlaka juu ya sheria jambo ambalo linawafanya na wateule wawe juu ya sheria. Wanalindana kwa kumsikiliza mteuzi hebu tafakari Operation
-------------------------------

Tangu mwanzo wa mgogoro wa Zitto na Chadema ulionekana kuitikisa chadema toka mwanzo hakuna kiongozi hata mmoja ndani ya chadema aliye wai kukubali kuwa chama kimetikiswa na mgogoro huu mkubwa hadi sasa.
Leo kwa mara ya kwanza Tundu lissu akiwa kwenye kipindi cha dakika 45 amekubali kuwa hali ndani ya chama chake si shwari kabisa.
Mh Tundu lissu alikwenda mbali zaidi na kusema hali si shwari na anategemea itakuwa shwari japo alionekana ni mtu asiye na matunaini kabisa.
Ikumbukwe kwamba tangu mwanzo wa huu mgogoro viongozi wengi wa Chadema wamekuwa wakisema hali ni shwari hili kuwafariji wana chama wao, lakini leo Mh Tundu lissu uzalendo umemshinda akaona aseme ukweli.
Tundu lissu aliendelea kukubali kuwa viongozi walio fukuzwa wana wafuasi wengi ndani ya chama nayo hii imewapa wakati ngumu sana na ame admit kuwa watapoteza wanachama kwa hatua walio chukua.
Nampongeza sana Mh Tundu lissu kwa kuonesha mfano na kuwa funza viongozi wa chadema kusema ukweli hata katika hali ngumu.
Ni wazi Mh Tundu lissu ameanza kukataa kuburuzwa hasa pale anapo takiwa kusema ukweli hata kama ukweli huo uta waumiza viongozi wa chadema.
HONGERA MH TUNDU LISSU KWA KUWA MKWELI NA MUWAZI.
SOURCE 😀AKIKA 45 ITV
Mbunge wa Singida Mashariki na Waziri kivuli wa sheria na katiba, mh Tundu Lissu amedai kuwa 100% ya Watanzania wanazungumza Kiswahili na hawajui kingereza.
Anasema kwamba Sheria za nchi zinazotungwa na bunge huandikwa kwa kingereza wakati WABUNGE walio wengi ndani ya bunge hawajui kingereza, ndio maana wakati mwingine baadhi ya Wabunge huishia kupiga Makofi na kupitisha mambo mengi kwa kuwa hawajui Kilichoandikwa.
Source; ITV DK 45 na Emmanuel Buhohela