Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Sijui woga niwaniniNina wasiwasi na wale jamaa wa taarifa za intelijensia kumletea figisufigisu.
Jini anataja jina keshoKesho Jumapili 27 Nov 2016 majira ya saa 5 asubuhi, Katibu Mkuu wa The Civic United Front na Makamu wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Seif Sharif Hamad, atazungumza na wahariri wa vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi. Mkutano huo pia utarushwa LIVE kwenye mitandao ya kijamii. Stay tuned.
Mbarala Maharagande
Kaimu Naibu Mkurugenzi wa Habari,
26 Nov 2016.
Lazima wamzuie....Nina wasiwasi na wale jamaa wa taarifa za intelijensia kumletea figisufigisu.
Hofu yangu kutokubaliwa tu...!Juhudi zinafanyika ili mkutano uonyeshwe live kwa Tv , Mungu mbariki Maalim Seif .
Lakini anayeogopwa kwelikweli, maajabu ya dunia!hahahaha mtaalam wa kuhutubia viti vitupu