Mhe. Seif Sharif Hamad Kuzungumza na wahariri wa vyombo vya habari wa Ndani na nje ya Nchi Kesho

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,216
2,000
Kesho Jumapili 27 Nov 2016 majira ya saa 5 asubuhi, Katibu Mkuu wa The Civic United Front na Makamu wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Seif Sharif Hamad, atazungumza na wahariri wa vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi. Mkutano huo pia utarushwa LIVE kwenye mitandao ya kijamii. Stay tuned.

Mbarala Maharagande
Kaimu Naibu Mkurugenzi wa Habari,
26 Nov 2016.
 

Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
13,463
2,000
Duh..... Sijui kama watu wa 'Kitengo' kama wataruhusu mkutano huo?

Kwa kuwa ni lazima 'watasingizia' kutokana na taarifa zao za kiintelijensia walizonazo.......

Ingekuwa kama aliyeitisha angekuwa ni La Profeseri Lipumba, nisingekuwa na shaka kuwa kikao hicho kingekuwa na baraka zote za mtaa wa Lumumba na Magogoni na kingepata ulinzi wa kutosha kutoka kwenye vyombo vyetu vya usalama!
 

Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
22,566
2,000
Mbwembwe za kwenda ICC kupinga Uchaguzi zimeyeyuka sasa anakuja na igizo lingine la kuzubaisha Wapemba wake!
 

Kingsharon92

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
6,706
2,000
Hana madhara kama manyoka ya bujora makumbusho tangu 95 ni mbwembwe tu na kulia lia tu si afanye kweli kama ni shujaa na ya nini kuongelea nje ya nchi ili hali umedhulumiwa zanzibar
 

kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
24,101
2,000
Kesho Jumapili 27 Nov 2016 majira ya saa 5 asubuhi, Katibu Mkuu wa The Civic United Front na Makamu wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Seif Sharif Hamad, atazungumza na wahariri wa vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi. Mkutano huo pia utarushwa LIVE kwenye mitandao ya kijamii. Stay tuned.

Mbarala Maharagande
Kaimu Naibu Mkurugenzi wa Habari,
26 Nov 2016.
Jini anataja jina kesho
 

Kifaurongo

JF-Expert Member
Jan 18, 2010
3,636
2,000
Kukwepa filigisu aende Buguruni akapewe ajenda za kuzungumzia la sivyo wata mshughulikia tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom