Kwa heshika ya JF, posts kama hizi zinatakiwa zifutwe.
Huu ni udhalilishaji kabisa, yule inawezekana ni mke wa mtu na pia ni mama wa mtu, na hata kama si hivyo bado sio vizuri kumdhalilisha kiasi hiki. Umeanzisha hii post ukijua kabisa kuna watu watakuja na posts za ajabu. This is out of scope of 'great thinkers'

Inaonekana wazi kuwa alikusudia kumdhalilisha huyu mama ila aelewe kuwa atakapodhalilishiwa mzee wake, au mkewe,au dada yake ni malipo ya dhambi hii. Inashangaza udhalilishaji huu haujafutwa bado!
Hapana jamani!Huyu dada ana kamvuto fulani hivi, pamoja na yote
View attachment 218006View attachment 218007
Huyu mheshimiwa jamani mi mwenzenu huwa nikianza kumuangalia hata sichoki.
Akili yote inahama kabisa yani mi nakuwa nataka tuuuuuuu huyu mheshimiwa jamani.
Akiwa anaongea mimi sauti yake na kale kapozi kake kama anaona aibu hivi mimi uuuuuwiii.
Kupenda huku kupenda jamani mi nawezaje angalau kupata fulsa kusema nae tuuuu huyu jamani.
Aunt katulia huyu wala sionagi kasoro ya maana kwake. Akili yangu yoooote ulingoni tu nimwonapo.
Saada jamani Saada kama upo humu jamaniiiiii hapa PM tu nilianzishe.
I don't care.
Mambo ya ajabu sanaKhaaa...watu wana vituko.Yule nae kakuvutia nini cha haja,meno?Acha utani mkuu.