Mhe. Saada Mkuya

Mhe. Saada Mkuya

Kongi

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Posts
440
Reaction score
117
Huyu mheshimiwa jamani mi mwenzenu huwa nikianza kumuangalia hata sichoki.

Akili yote inahama kabisa yani mi nakuwa nataka tuuuuuuu huyu mheshimiwa jamani.

Akiwa anaongea mimi sauti yake na kale kapozi kake kama anaona aibu hivi mimi uuuuuwiii.

Kupenda huku kupenda jamani mi nawezaje angalau kupata fulsa kusema nae tuuuu huyu jamani.

Aunt katulia huyu wala sionagi kasoro ya maana kwake. Akili yangu yoooote ulingoni tu nimwonapo.

Saada jamani Saada kama upo humu jamaniiiiii hapa PM tu nilianzishe.

I don't care.
 
Hebu rudi kanyonye, tutolee harufu ya maziwa hapa!
 
Unapenda Ule Mpangilio Wake Mbovu Wa MENO na KINYWA? Ptuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!! Kinyaaaaaaa.....................Tupu.
 
Hebu rudi kanyonye, tutolee harufu ya maziwa hapa!

Dada Umerudi Na Nini Kama Zawadi Kutoka Huko Middle East Ulikokuwa Ziarani? Natambua Uwepo Wako Na Ni Matumaini Yangu Kuwa Jumanne Tutakuwa Pamoja Tukilisongesha Pamoja Na Dr. Ayoub Ryoba Pale Pale Uwanja Wa Nyumbani Msimbazi Centre. Nisalimie Sana Hapo TEA!
 
saada-nov6-2013.jpg
 
Attachments

  • saada(2).jpg
    saada(2).jpg
    17.6 KB · Views: 981
Nyi mnakandia wakati Mh. Mama anamilikiwa kihalali....kipendacho roho......uzuri wa......pilipili usiyoila.......sizitaki.....
 
Huyu mheshimiwa jamani mi mwenzenu huwa nikianza kumuangalia hata sichoki.
Akili yote inahama kabisa yani mi nakuwa nataka tuuuuuuu huyu mheshimiwa jamani.
Akiwa anaongea mimi sauti yake na kale kapozi kake kama anaona aibu hivi mimi uuuuuwiii.
Kupenda huku kupenda jamani mi nawezaje angalau kupata fulsa kusema nae tuuuu huyu jamani.
Aunt katulia huyu wala sionagi kasoro ya maana kwake. Akili yangu yoooote ulingoni tu nimwonapo.

Saada jamani Saada kama upo humu jamaniiiiii hapa PM tu nilianzishe.

I don't care.

chakula ya mkubwa hiyo
 
Mtoa mdada umemuangukia kweli mama au umeona slope a.k.a kitonga a.k.a mteremko....tatizo la ukosefu wa ajira linasababisha vijana mpaka kuwatamani mama zao ili mradi tu kuwe na fulsa ya upatikanaji wa ngawira....
 
Hivi tukiweka picha za mama zenu tukianza kuzijadili negatively mtajisikiaje.kumbukeni huyu mama ni mke wa mtu na ana watoto.zaidi ya yote ana heshima kubwa katika jamii.
 
Huyu mheshimiwa jamani mi mwenzenu huwa nikianza kumuangalia hata sichoki.
Akili yote inahama kabisa yani mi nakuwa nataka tuuuuuuu huyu mheshimiwa jamani.
Akiwa anaongea mimi sauti yake na kale kapozi kake kama anaona aibu hivi mimi uuuuuwiii.
Kupenda huku kupenda jamani mi nawezaje angalau kupata fulsa kusema nae tuuuu huyu jamani.
Aunt katulia huyu wala sionagi kasoro ya maana kwake. Akili yangu yoooote ulingoni tu nimwonapo.

Saada jamani Saada kama upo humu jamaniiiiii hapa PM tu nilianzishe.

I don't care.

Kwa heshika ya JF, posts kama hizi zinatakiwa zifutwe.
Huu ni udhalilishaji kabisa, yule inawezekana ni mke wa mtu na pia ni mama wa mtu, na hata kama si hivyo bado sio vizuri kumdhalilisha kiasi hiki. Umeanzisha hii post ukijua kabisa kuna watu watakuja na posts za ajabu. This is out of scope of 'great thinkers'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom