Mhe. Rais Shibuda Drogba 'CDM??:" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhe. Rais Shibuda Drogba 'CDM??:"

Discussion in 'Jamii Photos' started by ngoshwe, Sep 8, 2012.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 2. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  jamaa mswahili utafikiri mzaramu kumbe msukuma.....kuna uwezekano mkubwa baba wa kizaramo/kikwere akawaaliibia mamaza fulani wa huku kwa wasukuma....mtu unakuwa mswahili hadi watu wanakuchoka...yaani hadi mdomo umekaa kiswahiliswahili, ukimwona tu sura tu inajieleza hukitaji alete cv.
   
 3. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  khaa...!!!!
   
 4. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Tusidharau kiswahili ndio lugha yetu adhimu. Lugha nyingine ni kama nguo ya kuazima isivyositiri ******.
   
 5. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Anafaa kabisa kuwa rais kupitia CDM
   
 6. peri

  peri JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  hivi waswahili ni watu gani?
  Halafu kuwa msahili ni kilema/dhambi/ugonjwa au?
  Wewe sio mmoja wao?
   
 7. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  wewe ni mswahili kwani, au?
   
 8. peri

  peri JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mbona Haujajibu swali?
  Mi nimeuliza kutaka kujua nawe wauliza?
   
 9. peri

  peri JF-Expert Member

  #9
  Sep 9, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hayo matusi mkuu, inamaana ukikulia zaznibar unashindwa kufikiri?
  Inamaana Seif wa cuf au kiongozi wa cdm zanzibar nao hawajui kufikiri?
   
 10. Ufipa-Kinondoni

  Ufipa-Kinondoni JF-Expert Member

  #10
  Sep 9, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 4,466
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  wengi wanatenda bila kufikiri. hiyo inajulikana kwa watu hawa ndo maana ya watu kufananisha na wazaramo au watu wa mwambao
   
 11. MBWA HARUKI

  MBWA HARUKI Senior Member

  #11
  Sep 9, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndugu hapa hata wewe hapa hujafikiri vizuri! sio busara kusema hivi. haya ni machukizo!
   
 12. Ufipa-Kinondoni

  Ufipa-Kinondoni JF-Expert Member

  #12
  Sep 9, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 4,466
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  Haahhhhhh! Pole mkuu
   
 13. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #13
  Sep 9, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mimi simfahamu huyu jamaa ni nani ila kwa jinsi nilivyobobea katika suala zima la saikolojia ya mwanadamu, naweza kuangalia midomo ya huyu jamaa na kuhitimisha kuwa ni mwimbaji wa taarabu popote aendapo iwe eneo la kawaida au eneo rasmi. Jamani, kwa wanaomfahamu tafadhali nidhihirishieni hitimisho hili.
   
 14. peri

  peri JF-Expert Member

  #14
  Sep 9, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  ficha upumbavu wako, unajidhalilisha mwenyewe.
  Unadhihirisha chuki iliyo moyoni mwako.
  Ninawasiwasi wewe si raia,Watanzania hatuko hivyo.
   
 15. Ufipa-Kinondoni

  Ufipa-Kinondoni JF-Expert Member

  #15
  Sep 9, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 4,466
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  Acha hayo leta hoja. Unajua kama 80% they are not dreaming the success and most of them are no achievers. Please, take analysis b4 u come again. Thanx
   
Loading...