VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Tupo kwenye mjadala wa madini. Kichwa cha habari ni MAKINIKIA. Mjadala umepamba moto. Tunakumbushana,tunasemana,tunatajana na kurekebishana. Kwa upana wa kitaifa.
Lakini,Rais na Mawaziri wako wawili wa Sheria na Katiba pamoja na yule wa Habari mmepunguza uwanja. Uwanja wa majadiliano. Mmekataza kutajwa kwa Mzee Mkapa na Mzee Kikwete kwenye mjadala.
Nakumbuka kivuko cha MV Bagamoyo nacho kilijadiliwa. Kuhusu ununuzi wake na matumizi yake. Rais ukatufunga
Tupo kwenye mjadala wa madini. Kichwa cha habari ni MAKINIKIA. Mjadala umepamba moto. Tunakumbushana,tunasemana,tunatajana na kurekebishana. Kwa upana wa kitaifa.
Lakini,Rais na Mawaziri wako wawili wa Sheria na Katiba pamoja na yule wa Habari mmepunguza uwanja. Uwanja wa majadiliano. Mmekataza kutajwa kwa Mzee Mkapa na Mzee Kikwete kwenye mjadala.
Nakumbuka kivuko cha MV Bagamoyo nacho kilijadiliwa. Kuhusu ununuzi wake na matumizi yake. Rais ukatufunga mdomo kwa kukikabidhi jeshini. Ukatuambia kuwa sasa kimekuwa kifaa cha kijeshi na ni risk kukijadili. Tukanyamaza
Je,Mzee Mkapa na Mzee Kikwete nao wamekuwa vifaa vya kijeshi na hivyo hawajadiliki? Waliotajwa tuwajadili?
Bastola ya nini tena jamani!?
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
kwa kukikabidhi jeshini. Ukatuambia kuwa sasa kimekuwa kifaa cha kijeshi na ni risk kukijadili. Tukanyamaza
Je,Mzee Mkapa na Mzee Kikwete nao wamekuwa vifaa vya kijeshi na hivyo hawajadiliki? Waliotajwa tuwajadili?
Bastola ya nini tena jamani!?
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Hakuna kesi hapo.Najiuliza tu, itakuwa vipi akina Chenge na Karamagi wakisema waliyafanya hayo yote kwa baraka za wenyeviti wao wa baraza la mawaziri?
Kwanini jitihada inayotumika kuwanasua hawa wastaafu ni kubwa kuliko jitihada atakayotumia binadamu kumuweka tembo mabegani mwake?
Wamefanya "mambo makubwa". Na kweli. Haya mambo sio ya kitotoTupo kwenye mjadala wa madini. Kichwa cha habari ni MAKINIKIA. Mjadala umepamba moto. Tunakumbushana,tunasemana,tunatajana na kurekebishana. Kwa upana wa kitaifa.
Lakini,Rais na Mawaziri wako wawili wa Sheria na Katiba pamoja na yule wa Habari mmepunguza uwanja. Uwanja wa majadiliano. Mmekataza kutajwa kwa Mzee Mkapa na Mzee Kikwete kwenye mjadala.
Nakumbuka kivuko cha MV Bagamoyo nacho kilijadiliwa. Kuhusu ununuzi wake na matumizi yake. Rais ukatufunga mdomo kwa kukikabidhi jeshini. Ukatuambia kuwa sasa kimekuwa kifaa cha kijeshi na ni risk kukijadili. Tukanyamaza
Je,Mzee Mkapa na Mzee Kikwete nao wamekuwa vifaa vya kijeshi na hivyo hawajadiliki? Waliotajwa tuwajadili?
Bastola ya nini tena jamani!?
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Kesi itaishia hapoNajiuliza tu, itakuwa vipi akina Chenge na Karamagi wakisema waliyafanya hayo yote kwa baraka za wenyeviti wao wa baraza la mawaziri?
Kwanini jitihada inayotumika kuwanasua hawa wastaafu ni kubwa kuliko jitihada atakayotumia binadamu kumuweka tembo mabegani mwake?
Mimi huwaga simuamini bwana yule.Ndugu yangu ukitafakari kwa makini utagundua kuwa swala la madini ni la kisiasa na si lakiuchumi. Bw yule wakati akipokea ripoti yapili ya makinikia alizungumza kwa unyonge sana kiasi cha kukaribia kumwaga machozi kiasi kwamba kila mmoja wetu aliguswa kwa kwa hilo. Na kila mmoja wetu aliwanyooshea vidole watangulizi wake. Nakutuasa tushikamane kama taifa ktk hilo. Chakusikitisha ni pale aliposema wahusika wakuu waliotifikisha tulipo wasitajwe. Ametuvunja moyo watz. Watu wakisema na kuamini kuwa may be ilikuwa ni kiki ya kisiasa ya 2020 baada yakuvuruga kila kona. But time will tell.
Tupo kwenye mjadala wa madini. Kichwa cha habari ni MAKINIKIA. Mjadala umepamba moto. Tunakumbushana,tunasemana,tunatajana na kurekebishana. Kwa upana wa kitaifa.
Lakini,Rais na Mawaziri wako wawili wa Sheria na Katiba pamoja na yule wa Habari mmepunguza uwanja. Uwanja wa majadiliano. Mmekataza kutajwa kwa Mzee Mkapa na Mzee Kikwete kwenye mjadala.
Nakumbuka kivuko cha MV Bagamoyo nacho kilijadiliwa. Kuhusu ununuzi wake na matumizi yake. Rais ukatufunga mdomo kwa kukikabidhi jeshini. Ukatuambia kuwa sasa kimekuwa kifaa cha kijeshi na ni risk kukijadili. Tukanyamaza
Je,Mzee Mkapa na Mzee Kikwete nao wamekuwa vifaa vya kijeshi na hivyo hawajadiliki? Waliotajwa tuwajadili?
Bastola ya nini tena jamani!?
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Katika hili la madini/mchanga niliamua kumuamini kwa moyo wangu wote kutokana na inavyoniuma jinsi tunavyoibiwa kama wajinga..Mimi huwaga simuamini bwana yule.
Kama kuna sehemu ameharibu basi ni hapo, ni bora angejikalia kimya tu!nimeamini watanzania tunampa jpm sifa asiyostahili. toka azuie marais wastaafu kukosolewa sina imani naye tena.
Akili kichwani mwako