Msalagambwe
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 713
- 263
Jf raha tupu nilitoka na mastres yangu ya kusaka pesa na ful hasira nafungua hii thread nabaki kucheka peke yangu tu hadi wyf anashangaa
mkuu mbona imekutouch sana?Moderator hii thread imeachwa kwa maslahi ya kutukanwa Ndugai au kudhalilishwa akina mama wa kipare? mbona huiondoi mod?
dah,,,,mdau kweli una hasira na mbunge wako,what i know kale kamchezo kanachofichwa ndani ya chupi kana changamoto zake bhana
mkuu mbona imekutouch sana?
dah! pole sana mkuu!Na declare interest Mama yangu ni Mpare! Imeni touch kwa kweli
Kituko zaidi ni kuongoza bunge gizani,baadae kajistukia na kuahirisha kabla ya mda bila kutaja kanuni yoyote inayotumika kuahirisha bunge bila kujiridhisha kuwa hali iliyopo hairekebishiki!mzani ni kitu kizuri sana tumepima kati ya mdee na Ndugai
nilijuwa kwenye 'chupi' itaweka ***** kumbe nasing kwa kweli. ngoja na mimi niseme.....chupi
Mimi ninaye andika thread hii ni mpiga kura wa Mhe. Ndugai ambae ndiye naibu spika, sisi wapiga kura wake ndiyo tunaye mwona yeye kituko na wala siyo Mh. Sana Halima MDEE laiti angejua hata sisi tunapenda kuwa na mbunge kama Halima Mdee asingengemwambia vile. Tunamwona ni kituko kwa sababu zifuatazo: 1. Ubunge wake alinunua kwa hela nyingi kweli kweli kwani ubunge huo walikuwa wanapigania na Shamsha Mwangunga Yule aliyekuwa wazuri wa mali ya asili bunge lililopita, alinunua pikipiki nyingi kama 18 hivi kuwagawia wapiga debe wake mmoja wapo Ndugu Jack Tito Fungo anayo mpaka leo, wakati Halima Mdee alichaguliwa na wapiga kura wa kawe kwa kuwa ni jembe na wala si kwa kupenyeza mlungula. Angalia juzi magorofa ya mabillioni ya mbezi beach yalivyokuwa yanaporomoka kama yeye Ngugai angeweza na marushwa yao wanayopewaga. 2. Kituko cha pili ndiyo babu kubwa, alivyokuwa mheshimiwa alianza uhawala Na aliyekuwa DMO wa Kongwa wakati huo Dr Fatuma ambaye ni mpare. Hapa Kongwa ndipo panapoongoza kwa ugonjwa wa Tracoma (vikope) pana NGO kadhaa zinazopambana na ugonjwa huo mfano KTP, Macdonard Tracoma Initiative, Hellen Keller International (HKI) NA CEHEPHO . Sasa ilifika wakati wa kurenew mikataba Yule Doctor Fatuma aidha kwa kuelekezwa na Mh Ndugai akaomba rushwa ili awapigie debe waongezewe mkataba, basi wale wazungu wakamtolea inje wakaondoka. Sasa wanainchi wa Kongwa wameendelea kuwa vipofu wafadhili wamekimbia hawala yake Ndugai amewakorofisha. Kuona hivyo baraza la madiwani likamuadhimia huyu Daktari akahamishwa fasta fasta. Sisi wapiga kura wa Kongwa tunajiuliza hivi hizi chupi za kipare zikoje ! mbona wagogo wanaweweseka sanaaa, na kaka yake Ndugai Malacela naye hivyo hivyo akachelewa na chupi ya kipare kiwanda cha soda kikaenda Mbeya japokuwa kule kuna baridi. Sisi wapiga kura wake Ndugai jioni hii ndiyo tumemwona yeye kituko analiambia jembe kituko wakati mwenyewe ni ****** tu.
Ile kauli ilinishangaza sana. Nafikiri katiba yetu ibadilishwe, mgombea uspeaker awe ni non partisan.Kweli anavyoongoza bunge utadhani ni mkutano wa chama. Nilitegemea angekuwa 'neutral' lakini naona 'fairness' inamshinda sana. Leo kamwambia mbune mmojawapo: "Ndiyo maana tunakwambia tumethubutu, sijui nini na tunasonga mbele." Yaani, spika wa bunge unaleta slogani za chama chako na wakati huohuo unadai ni spika wa wote? Huu mchezo kabisa!
nilijuwa kwenye 'chupi' itaweka ***** kumbe nasing kwa kweli. ngoja na mimi niseme.....chupi
Moderator thread hii ina matusi ya nguoni kudhalilisha akina mama wa kipare na wapare! mbaya zaidi n halima mdee ni mpare,nshauri thread hii iondolewe kwa heshima ya JF na Ban ifuate!
.Sina uhakika kama wewe ni mmoja kati ya wanaopiga kura. Pia sijui kama watani zangu wagogo hasa wa Kongwa walio wengi watakuelewa juu ya fitina ulizozimwaga hapa. Sina maana kuwa Ndugai kama watu wengine walivyo si dhaifu la hasha ila hizi ulizozieleza naamini ni fitina za kisiasa