Mhe naibu waziri wa mawasiliano....

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
Kwanza nikupongeze kwa kuteuliwa kwako kushika nafasi hiyo. ingawa nilipata wasiwasi kwa uteuzi huo.

ni wapi wasi wasi wangu ulipojikita na nikajiridhisha niko sahihi

wewe ni naibu waziri (wa serikali) nilitegemea ulipopata uteuzi huo tu utazungukia taasisi zilizo chini ya wizara yako, ulifanya hivyo lkn kubwa lililobeba wasiwasi wangu, ulifanya ziara airtel, zantel na vodacom lakini taasisi iliyoko chini ya serikali TTCL HUKUSHUGHULIKA NAYO, ukalala mbele bungeni.

Muda tukawaona vodacom huko mjengoni(.............?)

TUNATEGEMA MAFANIKIO MAKUBWA CHINI YA UONGOZI WAKO HASA KWA TAASISI YA UMMA.
 
Mtoto wa nyoka si ni nyoka, ukitegemea samaki kwenye kizazi cha nyoka utatia shaka sana. mtoto wa YM yule kilaza wa kutupwa, mlopokaji, mvivu wa kifikiria, leo awe kipanga ajabu japo yaweza kuwa kweli.

Kama baba yake ni feki , Tz yote inajua na yeye JM ni kipanga je, umeshawahi kumsikia akimkosoa baba yake??? kama ameshindwa kitu kidogo kama hicho forget kuhusu kuwa kiongozi bora. TUSAHAU, time will prove me right.

Bia ile ile kwenye chupa ya kopo.
 
Kwani hujui magamba wanawatumikia wawekezaji?

MAWASILIANO ni voda, airtel, tigo ... akitoka hapo anaenda kuwafanyia mpango TCRA au TIC
KILIMO KWANZA ni wawekezaji toka magharibi na mashariki, na kuwaunganisha na TIC
MADINI, UTALII ni hivyo hivyo

Shule na vyuo vyetu hakuna anayehangaika navyo kwa sababu wawekezaji wapo watakuja kuchimba madini, kujenga, kulima na kutuwekea mawasiliano
 
Kwanza nikupongeze kwa kuteuliwa kwako kushika nafasi hiyo. ingawa nilipata wasiwasi kwa uteuzi huo.

ni wapi wasi wasi wangu ulipojikita na nikajiridhisha niko sahihi

wewe ni naibu waziri (wa serikali) nilitegemea ulipopata uteuzi huo tu utazungukia taasisi zilizo chini ya wizara yako, ulifanya hivyo lkn kubwa lililobeba wasiwasi wangu, ulifanya ziara airtel, zantel na vodacom lakini taasisi iliyoko chini ya serikali TTCL HUKUSHUGHULIKA NAYO, ukalala mbele bungeni.

Muda tukawaona vodacom huko mjengoni(.............?)

TUNATEGEMA MAFANIKIO MAKUBWA CHINI YA UONGOZI WAKO HASA KWA TAASISI YA UMMA.

Hata TIGO nao aliwasahau?
 
attachment.php
 
Back
Top Bottom