RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,859
- 2,761
Nimetafakari sana, tena kwa kina hoja ya Mhe Mtemvu kuhusiana na wabunge kupewa mlungula ili kubariki Ufisadi mkubwa waliyofanya Prof Kapuya et al kujimilikisha UDA .... Ni ukweli usiopingika kuwa kuna haja ya Wananchi wa Dar es Salaam kukataa ujinga huu kwa nguvu zote, Haiingii akilini UDA iliyokuwa na Viwanja kila kona ya jiji kuuzwa kwa thamani ndogo kiasi hicho THEN all over suddenly, hata mwaka haujaisha ETI hao Mafisadi wameuza UDA kwa kampuni ya ELJAZEERA kwa thamani ya 12 Billions!...Ushahidi wa Kimazingira unaonyesha kuwa kati ya hizo 12 Billions kuna kiasi kimetengwa kwaajili ya kuwanasa baadhi ya Wabunge wakiwemo Serukamba, Kigwangala et al!!! Wabunge wa Dar es Salaam mnatakiwa kuwa na umoja thabiti usio yumbishwa kwa maslahi mapana ya wapiga kura wenu... all in all KUDOS Mhe Mtemvu ...
wote wale wale DINI moja so wataelewana tu msituzingue na sanaa zenu kwenye kamera
Nimetafakari sana, tena kwa kina hoja ya Mhe Mtemvu kuhusiana na wabunge kupewa mlungula ili kubariki Ufisadi mkubwa waliyofanya Prof Kapuya et al kujimilikisha UDA .... Ni ukweli usiopingika kuwa kuna haja ya Wananchi wa Dar es Salaam kukataa ujinga huu kwa nguvu zote, Haiingii akilini UDA iliyokuwa na Viwanja kila kona ya jiji kuuzwa kwa thamani ndogo kiasi hicho THEN all over suddenly, hata mwaka haujaisha ETI hao Mafisadi wameuza UDA kwa kampuni ya ELJAZEERA kwa thamani ya 12 Billions!...Ushahidi wa Kimazingira unaonyesha kuwa kati ya hizo 12 Billions kuna kiasi kimetengwa kwaajili ya kuwanasa baadhi ya Wabunge wakiwemo Serukamba, Kigwangala et al!!! Wabunge wa Dar es Salaam mnatakiwa kuwa na umoja thabiti usio yumbishwa kwa maslahi mapana ya wapiga kura wenu... all in all KUDOS Mhe Mtemvu ...
Ukiuza kiwanja cha Depot ya Kurasini au Bandari kule kimoja tu unapata mara KUMI ya hiyo hela.
Kuhangaika na mahangaiko na shughuri za Binadamu zimewafanya watu wote kumsahau Mungu wao...
Msisumbukie maisha Mvae nini mle nini Tazameni ndege angani jinsi walivyo na furaha...
Hisa 51% zilikuwa za jiji maana yake mmiliki mkuu wa UDA ni wakazi wa jiji la Dar. Lakini unafanyika utapeli tena toka kwa wakazi wa nje ya Dar wao wamenyamaza tuu, watu kama Mnyika wakipiga kelele wao wako kimya tuu wanaona sawa tuu mradi wao wanauhakika wa kupata kahawa vijiweni.
Hebu hilo litokee Arusha ndio utajua nini maana ya mali ya wananchi. Dar amkeni mnaliwa hivyo
Mkuu kutokana na umuhimu wa kipekee wa Jiji la Dar es Salaam kwa Watanzania, suala la kuhujumiwa kwa mali za UDA lazima lipiganiwe na Watanzania wote... ni kweli kuwa inakera sana kuana kuwa kuna baadhi ya Watawala wanajikwapulia mali za Umma huku wananchi wakishindie kwa milo ya utumbo na ngwara tena za kuku wa kisasa....ndo wonder PANYA RD wanaibuka kwa kasi ya ajabu ...
Nilipo sisitiza kuhusu watu wa Dar ni kwa kuwa kama kwenye uchaguzi wangechagua madiwani makini wote na wabunge makini sidhani kama jambo hili lingefika hapa lilipo zaidi ya kuishia kwenye Baraza la madiwani wa jiji.
Ukweli unabaki palepale kuwa wale wacheza vigodoro,viduku na wajaa beach za koko nk ndio wapiga kura walio wengi lakini hawajitambui.
Hapo hujahesabu mateja na wapiga misheni town ambao hawana habari na nini kinaendelea nchi hii au wao kwa nini wako hivyo. Yaani hawajitambui.
Sent from my iPad using JamiiForums
Mambo ya dini yametokea wapi ndugu......?wote wale wale DINI moja so wataelewana tu msituzingue na sanaa zenu kwenye kamera
Hebu angalieni hesabu hii kwa wale mliokuwa hamjui. Kapuya ana hisa UDA. Na rafiki MKUBWA wa Kikwete hapa nchini ni Kapuya, narudia ni Kapuya! Ndiyo sababu kuna harufu ya Ridhiwani katika UDA. Hao wengine ni madalali tu wa kubeba mikoba!Kapuya huyu huyu wa tortoise
Du wamenunua kwa millioni 200 wameuza billioni 12. Mungu akupe nini?Dar kuna vilaza sana..mnyika na mdee wameongea sana wakawaona kama wajinga..labda watamsikiliza ccm mwenzao