Kirode
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 3,566
- 84
Chadema ni Lifestyle Mkuu.
CHADEMA ltd. chezea wewe..
Chadema ni Lifestyle Mkuu.
Mimi ni mwananchama wa NHIF (NATIONAL HEALTH INSURANCE FUND) dukuduku langu ni kutaka kujua eti huduma ya matibabu ya meno hailipiwi na huu mfuko. Mn nimetembele hospitali moja leo nikiwa na tatizo meno kuuma nilipofika hapo hospitali wakasema natakiwa kusafishwa meno lkn kusafisha meno ni laki moja, na hii huduma.NHIF hailipi kwa huduma hizi lazima.nilipe.toka mfukoni mwangu ss ebu nijuzeni ili jambo ni kweli, mana mhusika kanifafanulia eti NHIF hawatambui matibabu ya kusafisha meno ss sijui wao NHIF wanatambua nini.
Mimi mdau Kishimba75

Kuna mpuuzi mmoja,tena kijana,alinishangaza sana!
Alidai,anapenda Bunge lisirushwe LIVE,kwani wabunge vijana,wanatumia matangazo hayo kuuza sura! Hawana cha maana wanachochangia,ni kelele tu! Na hata kama halitarushwa LIVE,hiyo recording itayorushwa baadaye,ihaririwe! Kwa ufupi,alionyesha chuki kubwa kwa wabunge vijana!
Mimi naona wewe kama kiwavi vile?wachangiaji wengi ni viwavi wa cdm ,kipindi kimepoteza ladha
CHADEMA ltd. chezea wewe..
Naona hoja za Watu katika ITV.. Watu wanavyochangia naona sasa chadema imewaamusha watu na kuwafanya wasiwe waoga na kuonyesha hisia zao...
PEOPLE's..................
CHADEMA imesomba wanachama wake na kuwapeleka kwenye kipindi mkuu
Ulitegemea utapata wachangiaji wa CCM wakati mliwakosesha nafasi ya kwenda shule sasa watapata wapi uwezo wa kujenga hoja na kuweza kupiga simu,wao wanaangalia tu hawana hata ujasiri wa kuchangia labda ingekuwa kupiga vigelegele na kujiburuza chini wangefanya lakini sio kujenga hojawachangiaji wengi ni viwavi wa cdm ,kipindi kimepoteza ladha
...tafuta ndimu..wachangiaji wengi ni viwavi wa cdm ,kipindi kimepoteza ladha
.....au chadema wanamwamko chanya kwenye masuala ya msingi,sio ccm mpaka wapewe posho na wakodishiwe malori,wapi Tambwe Hiza na mchakato wa katiba..Ndio wengi Tanzania kwa sasa,hivyo kila mahali lazima wataonekana wengi"
Mkuu hizi hapa....Viva CHADEMA. Lete ile namba tuanze tena kuvurumusha mesage.