Watanzania ni wa kuwatelekeza tu...SIO WA KUWAPAMBANIA HAWA...
Huu ni ushoga wa kiwango cha lami. Sasa ulitaka wafuasi wa mbowe wafanyaje kwa mfano?Wapo wapi vijana wako wa popote ulipo?!
Wapo wapi wanachama/wafuasi na wafia chama?!
Wapo wapi waliotuaminisha iwe jua au mvua watasimama nawe na kupaza sauti zisizo koma hadi uwe huru?!
Ndg yangu Mbowe maisha ni wewe na si wale.Leo hii inatimu kama miezi miwili hivi upo ndani na watu kimya/umesahauliwa.Wanafiki wanakungoja ukitoka jela waanze kujionesha kwamba walikuwa na wewe wakati wote kumbe wapi!
Leo hii mjadala ni ndege zetu na si wewe!
Leo hii mjadala ni Makonda kutaka awe zaidi ya Jpm na si wewe!
Leo hii mjadala ni Spika Ndugai na CAG na si wewe!
Mda huu tunakula bata baa/mtaani na si kuwa na wewe!
Ndg yangu Mbowe Janga ulilichuma wewe sasa hangaika nalo!
Labda alitaka wakabomoe gereza huyu lofaHuu ni ushoga wa kiwango cha lami. Sasa ulitaka wafuasi wa mbowe wafanyaje kwa mfano?
Kwa muda wa miaka 5 utafanya hivyo, kwani kesi yao upelelezi utakamilika 2024, vidole vitakuwa vishaota sugu.Mimi yangu kunyoosha vidole tu peoplesssssssssss's powerrrrr mwisho .
Sent using Jamii Forums mobile app
MweeeeeeeeKwa muda wa miaka 5 utafanya hivyo, kwani kesi yao upelelezi utakamilika 2024, vidole vitakuwa vishaota sugu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngome Makao Makuu ya Jeshi ?Wiki hii nilifanikiwa kumpitishia chupa ya chai pale ngome aisee jamaa anasema toka siku ya kwanza hajamuona Sosopi,Malissa, Yericko wala Salary slip,hali ni mbaya kwa kweli
Mimi nilishaapa milele kumtetea mtanzania ni ku chuma majanga tu wanakujaza upepo ila janga likifika ndukiiiiWatanzania ni wa kuwatelekeza tu...SIO WA KUWAPAMBANIA HAWA...
ngome ndogo segereaNgome Makao Makuu ya Jeshi ?
Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
Mimi nilishaapa milele kumtetea mtanzania ni ku chuma majanga tu wanakujaza upepo ila janga likifika ndukiiii
ahhah ahhaha kipindi kile alitoka kama kabila
Mbowe ni mfungwa au ni mahabusu?Vita hii ni ya kisheria. Ulitaka wakalale mlangoni mwa gereza?. Kumbuka historia imekwishwa andikwa mbowe mfungwa wa kisiasa. Hili litaitafuna CCM.
Sent using Jamii Forums mobile app