shaka ondoa kyela ya leo si ile ya akina mwakasumi , ccm hawatoki mkuu .Kyela ni nyumbani. Naomba muwe na msimamo, kumbuka Mwakasumi alipigana sana kuikomboa Kyela lakini mkadanganywa na Mwakipesile na Baadae Mwakyembe. Naomba amueni kuifuta kabisa ccm huko kwetu jamani. Wengine tuko mbali kikazi lkn nafsi zetu ziko nyumbani. Tunapenda Kyela iwe na Sugu wake na Tundu Lissu wake. Jitaidini kuifuta hiyo ccm. Kwetu Junction yaani njia panda Malawi.
ukabhaponiyeghe nakubujhesi....
Kyela ni nyumbani. Naomba muwe na msimamo, kumbuka Mwakasumi alipigana sana kuikomboa Kyela lakini mkadanganywa na Mwakipesile na Baadae Mwakyembe. Naomba amueni kuifuta kabisa ccm huko kwetu jamani. Wengine tuko mbali kikazi lkn nafsi zetu ziko nyumbani. Tunapenda Kyela iwe na Sugu wake na Tundu Lissu wake. Jitaidini kuifuta hiyo ccm. Kwetu Junction yaani njia panda Malawi.
mkuu amba. nkya sehemu ndogo sana ya mjini kyela iliyobaki kukombolewa ni kijiji cha bondeni , hasa maeneo ya mkibhege club , kuna haja ya kuongeza nguvu maeneo ya mpanda hadi mahakama ya mwanzo mpaka kyerucu ( now kyecu ) ili tufagie kyela yote .
Hapo ndipo nyumbani kwa wazazi wangu!Hata sasa Mkibhege imebadilika na itaangukia UKAWA