amba.nkya
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 446
- 131
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Mbowe anatarajia kuwasili wilayani Kyela siku ya Ijumaa 22 Mei kwa shughuli za ujenzi wa chama makini CHADEMA ambapo anatarajiwa kuzindua Red Brigade, kufanya kikao cha ndani cha viongozi wa chama wa Wilaya pamoja na watia nia wa Ubunge na hatimaye kuhutubia mkutano wa hadhara.
Ujio wa Kiongozi Mkuu wa Upinzani Bungeni unasubiriwa kwa hamu kubwa na wanaKyela ambao kwa muda mrefu wanatamani sana kumuona Kamanda wa Anga.
Stay tuned...!
Mdau: Kyela Mjini Sokoni.
Ujio wa Kiongozi Mkuu wa Upinzani Bungeni unasubiriwa kwa hamu kubwa na wanaKyela ambao kwa muda mrefu wanatamani sana kumuona Kamanda wa Anga.
Stay tuned...!
Mdau: Kyela Mjini Sokoni.