nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
Na sisi wanyiramba tunafurahi sana kwa mambo anayoyafanya Lissu kwa kutohamasisha maendeleo. Lissu uongoze miaka 100 ili tuwapige gape Wanyampaa
mkuu unafahamu kazi za mbunge? je kazi za serikali unazitambua? kama hakuna maendeleo huko ikungi wa kulaumiwa ni serikali inayokusanya kodi hapo singida. tatizo hilo la kutojitambua limepelekea hela yetu ya miradi ya maendeleo iliwe na wajanja wachache serikalini kama kina shabani gurumo na wenzao...