Mhe. Lissu, 2015 imefika

Mhe. Lissu, 2015 imefika

Mkuu TzPride Umemaliza kila kitu!

Nawakilisha kutoka Mang'onyi hapa Lissu hana mpinzani 2015 period!

Nimekipenda hicho kibwagizo "Njaghamba iuhoma ilolo" wajifya sana wo khaya!
 
Nategemea na naamini Jf ni jukwaa na uwanja wa facts na sio fillings, tuambizane ukwel na tujisahihishe, jimbon kwa Lissu hali mbaya sana kimaendeleo na kwake pia kwa uchaguz ujao.
Mjinga no. 1 wa karne..idiot
 
Matrumbu akho....Lissu tumempa Uchifu hapa Ikungi, tafuta gazeti la Tanzania Daima la tarehe 11 May 2014.

Ktk magazeti ambayo siyapendi na sijawahi kununua wala kusoma ni hili, ni zaidi ya udaku.
 
We kweli unamatatizo ya ubongo, tuoneshe majimbo yenye maendeleo katika nchi hii! kwani maendeleo huletwa na mbunge? kwani kazi ya mbunge ni kuleta maendeleo? Wacha kutumiwa kama "condom" wewe!

Unaweza kuniambia wajibu wa mbunge ktk jimbo lake ni nini?
Kama anakwepa majukumu kuna haja Jana ya Kuwa na mbunge wa jimbo?
Na wanaoendeleza majimbo yao wanafanyaje?
Usitetee upuuzi, akwepe majukumu yake wakati anaomba kura alitoa ahadi za nini Sasa kama hana uwezo wa kutatua,
Msijitoe ufahamu kwa kutetea ujinga, mnamtetea mtu hata kama anafanya ujinga.
 
Yasome majibu ya wasinida wenzako;
Mkuu TzPride Umemaliza kila kitu!

Nawakilisha kutoka Mang'onyi hapa Lissu hana mpinzani 2015 period!

Nimekipenda hicho kibwagizo "Njaghamba iuhoma ilolo" wajifya sana wo khaya!
 
msambaru;
Hoja yangu si kumtaka mbunge Lissu atoe pesa mfukon, nachomaanisha hayupo tayari kuhamasisha wapga kura wake hata kushirikiana na wadau mbalimbali ktk kuleta maendeleo, kwa mfano ktk kijij cha mang'onyi amekua tatizo ktk kufikia muafaka na kampun ya shanta gold mine ambayo imeanzisha mradi wa visima virefu na tayari vmechimbwa, ktk kuleta dhana ya umiliki wa mradi wananchi walitakiwa wachimbe mitaro kwenda kwenye maeneo yao jambo ambalo halitak pia, je hapo serikal wanahusikaje?

Mnio wa manyokwe wang'u, nene wayo ni wo Mang'onyi shanta ahembi nee akuu, visima gani wanataka kujenga na Lissu anakataa???

Acha ujinga mhumba wo khaya!

shanta wamechukua maeneo yetu kwa nguvu bila hata senti tano!

mkuu haya maneno ya chini daaah
 
Sawa, ila mnaodhan yeye ni level ya taifa basi aachie jimbo awe mwanaharakati na sio mbunge, mnawaona wapga kura wake wajinga? siku inakuja nayo yaja upesi, mi ni mwanachama hai wa Cdm ila sijalewa sifa za chama kiasi cha kujisahau kua chama kwanza jimbo badae, mnampotosha.
Lisu anaweza kugombea hata jijini dsm akawa mbunge,mbona mnyika na Halima mdee ni wachaga lakini ni wabunge wa jiji la pwani al maarufu kama Dsm.
 
Mhe. Lissu kwa mtindo wa siasa na hamasa duni kwa sisi wapiga kura wako 2015 maeneo ya isuna, mungaa, mang'onyi, ntuntu, matongo,mahambe (nyumban kwako), mpaka iglanson na kwngneko.

Umefanya siasa kinzani na serikali bila kujali tunaoumia ni sisi wananchi wa kawaida, fanya bidii upate viongoz ktk ngaz za vitongoji, vijiji na kata ndipo utapoweza kufuatilia na kusimamia maendeleo, vnginevyo utaishia kushabikiwa na kushangiliwa na watu ambao hata jimbon kwako hawapajui.

Lissu ndio rais mpya wa Tanzania 2015..
 
Mwache tu aendelee kupiga makelele huko Zanzibar,hapa jimboni hana chake 2015
 
Wadau kama kuna mtu anafuatilia utendaji wake na anataka kupambana na Huyu Nguli atakua mbumbuu na asieitakia mema nchi yetu. Lissu anatimiza wajibu wake kwa hali ya juu sana. Kwa mtazamo wangu CCM au chama chochote kama kitathubutu kupeleka mgombea jimbo kwake Lissu basi atapimwa kili kama ziko sawa au lah....mana siasa ni kwa ajili ya watu na maendeleo yao na lissu ameweza.

Kwa mtazamo wangu hana mpinzani.jembe Lissu.
 
Huyo jamaa anapo ongea nafarijika zaidi ya kufurah sasa waliomchagua wanajidikiaje lazima waone fahari kuwa na mbunge kama huyu
 
Wadau kama kuna mtu anafuatilia utendaji wake na anataka kupambana na Huyu Nguli atakua mbumbuu na asieitakia mema nchi yetu. Lissu anatimiza wajibu wake kwa hali ya juu sana. Kwa mtazamo wangu CCM au chama chochote kama kitathubutu kupeleka mgombea jimbo kwake Lissu basi atapimwa kili kama ziko sawa au lah....mana siasa ni kwa ajili ya watu na maendeleo yao na lissu ameweza.

Kwa mtazamo wangu hana mpinzani.jembe Lissu.

Umeongea vema na tena ubarikiwe. Lakini mitanzania hasa miCCM ilivyo, utaona ! Mtu mwenye mapenzi mema na nchi hii atamwacha Lisu aendelee
 
naunga mkono hoja. nauheshimu sana mkoa wa singida kwa sababu ya mtu huyu aitwaye tundu lissu. hongereni wana singida. hongereni singida mashariki kwa kulitendea haki taifa letu.
 
Kama sehemu zilizo athiriwaa na op tokomeza ccm wameshinda s/m 2014!Kuwa tayari kwa lolote,mi Tz tumerogwa na mlozi gani
 
Amefanya kitu gani extraordinary jimboni kwake?
 
sisi wanaSingida mashariki tunawasubiri ccm watuletee hela na tutazila kweli kweli ila kura tunajua tutazipeleka wapi!

2010 Njau wa ccm alifilisika rasmi sasa amebaki anafuga mizinga ya nyuki kwao Mahambe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom