Mhe. Lissu, 2015 imefika

Mhe. Lissu, 2015 imefika

Mhe. Lissu kwa mtindo wa siasa na hamasa duni kwa sisi wapiga kura wako 2015 maeneo ya isuna, mungaa, mang'onyi, ntuntu, matongo,mahambe (nyumban kwako), mpaka iglanson na kwngneko.

Umefanya siasa kinzani na serikali bila kujali tunaoumia ni sisi wananchi wa kawaida, fanya bidii upate viongoz ktk ngaz za vitongoji, vijiji na kata ndipo utapoweza kufuatilia na kusimamia maendeleo, vnginevyo utaishia kushabikiwa na kushangiliwa na watu ambao hata jimbon kwako hawapajui.

Wewe utakuwa ni GAMBA kama walivyo magamba wengine wengi wasiojitambua! Kama wewe ni mpiga kura wa Lisu hakika ungakuta unashangilia jinsi ambavyo mmeweza kutuletea Jembe lenye manufaa na maslahi mapana kwa Watanzania wote... Lisu anafaa kuwa Waziri Mkuu na hata Rais wa watu kwa watu wa Tanzania... CCM na mabeberu mtalia sana siku Lisu ataingia Ikulu ...
 
Nategemea na naamini Jf ni jukwaa na uwanja wa facts na sio fillings, tuambizane ukwel na tujisahihishe, jimbon kwa Lissu hali mbaya sana kimaendeleo na kwake pia kwa uchaguz ujao.

Hebu dadavua kidogo inamaana kuwa kabla ya Lisu hilo jimbo lilikuwa na maendeleo makubwa?Je ina maana Lisu ndie aliyekuja kuzorotesha maendeleo ya jimbo?kama jimbo lilikuwa linamaendeleo kabla ya Lisu kuwa mbunge ni kwa nini mlimuondoa mtangulizi wake mkamchagua Lisu?.
 
Siku za lissu kurudi kijiweni kwake zimewadia naamini 2015 hawezi kurudi kwa kura labda ateuliwe
 
Kwa mnaoona anaweza kugombea jimbo lolote jingne, jaribuni sumu hio. mbona akina mnyika na wengne wanazungumzia sana mambo ya kwnye majimbo yao na ya kitaifa wapo WHY NOT LISSU?
 
Mhe. Lissu kwa mtindo wa siasa na hamasa duni kwa sisi wapiga kura wako 2015 maeneo ya isuna, mungaa, mang'onyi, ntuntu, matongo,mahambe (nyumban kwako), mpaka iglanson na kwngneko.

Umefanya siasa kinzani na serikali bila kujali tunaoumia ni sisi wananchi wa kawaida, fanya bidii upate viongoz ktk ngaz za vitongoji, vijiji na kata ndipo utapoweza kufuatilia na kusimamia maendeleo, vnginevyo utaishia kushabikiwa na kushangiliwa na watu ambao hata jimbon kwako hawapajui.

Hivi kwa akili zako unafikiri Tundu Lissu yupo duniani kwa ajili ya ubunge????. Ubunge ni sehem tu ya maisha ya Lissu na hata kama atakosa ubunge wa huko singida ana uwezo wa kugombea sehemu yoyote hapa nchini na akapata!!!!!
 
watu wa magamba bwana wa.j.i.nga kweli kweli vip kuhusu zitto kabwe na mambo ya kitaifa. au kwasababu zzk yupo upande wenu ?
 
Mhe. Lissu kwa mtindo wa siasa na hamasa duni kwa sisi wapiga kura wako 2015 maeneo ya isuna, mungaa, mang'onyi, ntuntu, matongo,mahambe (nyumban kwako), mpaka iglanson na kwngneko.

Umefanya siasa kinzani na serikali bila kujali tunaoumia ni sisi wananchi wa kawaida, fanya bidii upate viongoz ktk ngaz za vitongoji, vijiji na kata ndipo utapoweza kufuatilia na kusimamia maendeleo, vnginevyo utaishia kushabikiwa na kushangiliwa na watu ambao hata jimbon kwako hawapajui.

uyu marehem wang'u rakanuka nayo, dawa ni kumchapa tu
 
watu wa magamba bwana wa.j.i.nga kweli kweli vip kuhusu zitto kabwe na mambo ya kitaifa. au kwasababu zzk yupo upande wenu ?
So Zito akitembea uchi mtaiga? km ye amebug asiwe lisu ila afanye kibunge si kama mwanaharakati.
 
Sawa, ila mnaodhan yeye ni level ya taifa basi aachie jimbo awe mwanaharakati na sio mbunge, mnawaona wapga kura wake wajinga? siku inakuja nayo yaja upesi, mi ni mwanachama hai wa Cdm ila sijalewa sifa za chama kiasi cha kujisahau kua chama kwanza jimbo badae, mnampotosha.

Mwanachama wa CHADEMA hawezi kuwa na akili mgando kama zako.
Lissu anahitajika kila Mtanganyika na Mzanzibar kwa ustawi wa hizi nchi mbili.
Ndio maana tunasema the Guy is a National Figure.
Acha Upoyoyo
 
Lissu ni moto wa kuotea mbali maana kwa muda mfupi alio ingia bungeni CCM suruali na sketi zinawashuka kila kukicha. wanshona nguo kila kukicha maana makombola ya lissu yanfyatua viouno vyao. hebu angalia mpaka wengine wanasema watakimbilia msituni, wengine wamekimbilia kanisani kufanya uchochezi wa kidini, wengine wanataka muvunja serikali ya umoja wa kitaifa kisa Lissu kawabomoa kwa hoja nzito zenye mashiko ambazo hata ukiwaunganisha wabunge wa ccm 50 kwa miaka 50 iliyopita hawawezi kuzitoa
 
Nategemea na naamini Jf ni jukwaa na uwanja wa facts na sio fillings, tuambizane ukwel na tujisahihishe, jimbon kwa Lissu hali mbaya sana kimaendeleo na kwake pia kwa uchaguz ujao.

"fillings" au feelings tumia kiswahili tu mnyaturu na shule wapi na wapi
 
Acha Akili zako Mgando Lisu ni mbunge miaka 5 ccm miaka 45 zaidi nani anachelewesha
Maendeleo hapo? nenda zako huko Acha ujinga

Mhe. Lissu kwa mtindo wa siasa na hamasa duni kwa sisi wapiga kura wako 2015 maeneo ya isuna, mungaa, mang'onyi, ntuntu, matongo,mahambe (nyumban kwako), mpaka iglanson na kwngneko.

Umefanya siasa kinzani na serikali bila kujali tunaoumia ni sisi wananchi wa kawaida, fanya bidii upate viongoz ktk ngaz za vitongoji, vijiji na kata ndipo utapoweza kufuatilia na kusimamia maendeleo, vnginevyo utaishia kushabikiwa na kushangiliwa na watu ambao hata jimbon kwako hawapajui.
 
Nafikiri hakuna haja ya kupoteza muda tukilumbana na hawa jamaa wa CCM, kinachowauma ni kuona Lissu anavyochanja Mbuga kisiasa. Hayo maendeleo wanayotaka kwanza sijui kama majimbo mengine yasiyokuwa na mbunge wa upinzani kama yapo. Nijuavyo mimi tangu uchaguzi wa vyama vingi uanze mkoani Singida hakuna jimbo hata moja lililowahi kuwa na mbunge wa upinzani tofauti na hilo la Lissu. Kama ni kukosa maendeleo bado wa kulaumiwa ni CCM huyo huyo aliyekuwepo na ndiye anayekwamisha huduma zisiletwe jimboni kwa Lissu. Swali ni je hayo majimbo mengine yana maendeleo makubwa kuliko jimbo la Lissu? Acha propaganda za kitoto, kwa wapiga kura walio makini hawawezi kuacha kumpa kura Lissu lakini kama ni wapiga kura wasiojua wafanyalo basi watamuona jabali la kisiasa Lissu hafai. Lissu ana uwezo wa kugombea hata jimbo lingine akapata ubunge tu kama jimbo limejaa wafitini mkataeni Lissu majimbo mengine yatampokea na kumuomba agombee ubunge kwao. Binafsi namuona Lissu kama ni mtu zaidi ya mbunge na hivyo aangalie uwezekano wa kugombea urais akasafishe uchafu uliojaa katika uongozi wa nchi yetu

Ndugu yangu jaribu kwenda jimbo la lisu ujichanganye na vijana na watu wazima uone na upime mzani lisu 2015 hana lwake labda muwandalie awe katibu mkuu wa cdm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom