Mhe. Lissu, 2015 imefika

Mhe. Lissu, 2015 imefika

Mhe. Lissu kwa mtindo wa siasa na hamasa duni kwa sisi wapiga kura wako 2015 maeneo ya isuna, mungaa, mang'onyi, ntuntu, matongo,mahambe (nyumban kwako), mpaka iglanson na kwngneko.

Umefanya siasa kinzani na serikali bila kujali tunaoumia ni sisi wananchi wa kawaida, fanya bidii upate viongoz ktk ngaz za vitongoji, vijiji na kata ndipo utapoweza kufuatilia na kusimamia maendeleo, vnginevyo utaishia kushabikiwa na kushangiliwa na watu ambao hata jimbon kwako hawapajui.

aisse huo ujinga wako kamwambie mkeo.....kwan n wapiga kura gan hawajui kaz anayofanya lisu itasababisha hata maendeleo jimbon kwake? hlo jimbo n victim wa maendeleo ka sehemu nyingne za nchi hii.... multiplier effect tu kijana
 
Mnaomshangaa HALIKUNIKI Tundu Lissu hamuwajui CHADEMA wa sasa. Wote ndivyo walivyo. Hawajadili jambo bila ya kulisherehesha kwanza. Walikuwa hivo Bunge Maalum la Katiba na wako hivo kwenye Bunge hili la Bajeti.
 
Hamjui kuwa ana file Milembe msamehe kwa sasa na mtoseni mwakani
 
Kama hamtak huko tupeni sisi wengine agombee kwetu!!


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
ww mtoa mada ni msaliti hivi kwann huna shukrani unataka maendeleo gani unataka lami kutoka londoni hadi ikungi au maji maendeleo hunzwa na ww niambie jimbo lipi la cngda vijjn lina maendeleo yoyote acha hizo ndio maana wananchi kama nyinyi mlifanya watu wavunjike moyo amekuambia anashida ya kura yako au genye nenda kalime utapata maendeleo nyie ndio mnataka awatunzie hadi mke mwanaume haliic kama ww endelea kukaa kijiweni hapo ikungi uletewe maendeleo.
 
Lissu is no longer a province figure, but ruther a national figure. Msijidanganye kuwa mtu akishakuwa mbunge basi yeye ni kuongea ya jimboni kwake tu ndani ya bunge. Futeni hilo ndani ya vichwa vyenu na mjue kuwa mbunge ni mwakilishi wa wananchi wote kupitia jimbo fulani la uchaguzi na hana mipaka juu ya aongee nini na aache nini ndani ya bunge. As long as ni mbunge maslahi ya taifa kwanza na vingine vinafuata.
Hongera mg. Lissu kwa kuwa ndani wa kuigwa kwa kutetea maslahi ya kitaifa na kukosoa pale panapoonekana hapako sawa au hapakuwa sawa.
 
Inaonekana kwasasa hamna uwezo tena wa kujibu hoja bali ni kumtishia kuhusu jimboni kwake. Kwa taarifa yako maendeleo yanaletwa na serekali kupitia kodi za wananchi na mbunge kazi yake ni kuwawakilisha na kuwasemea wananchi wake bungeni. Hebu tupe tofauti ya kimaisha ya jimboni kwa mbunge yoyote wa ccm ukilinganisha na kwa Lissu hapo tutajua unaongea nini. Maana nijuavyo shida ya maji iko sehemu kubwa ya mkoa wa Singida regadless Ni kwa Lissu au kwa Mwigulu, shida ya pembejeo ni kwa wote sio kwa Lissu au Kwa Dewji, shida ya madawati, zahanati kukosa dawa kunafanana sasa wewe unayejifanya mpiga kura wake una lipi la kumtishia?
Wewe ni waziri fanya kazi yako acha siasa za vitisho wakati huna uwezo wa kujenga hoja, matokeo yake unajifanya unakubalika wakati unaishia kutumia polisi kudhibiti wapinzani na kushindwa kupeleka hela mahali husika kwa sababu za kiitikadi wakati mnapokusanya kodi hamkushanyi kwa wanachama wenu tu. Acha ujinga ndugu.

Umenena vema, tunamwomba Msambaru aeleze kinagaubaga kama maendeleo katika nchi yoyote huletwa na mbunge mmoja mmoja au kitu kinachoitwa 'serikali' na kwa vinchi kama vya kwetu serikali maana yake ni mawaziri maana hawa ndo huamua kipi kiende wapi na ndo wanaotoa bajeti bungeni. Wengine wote wanasimamia hicho kilichopitiswa katika baraza la mawaziri. Hivyo kumtuhumu Lisu ni kumwonea. Atuhumiwe PM na mawaziri wake, atuhumiwe JK na chama chake, atuhumiwe waziri wa kitu kinachohusika na si mbunge ambaye kazi yake ni kuisimamia hiyo kitu inayoitwa 'serikali'
 
Akakona Mwinowere, Basi awe chifu wa ikungi si mezoea akija anawapa nyama choma na pombe hasa ile ya K Vant nadhani unaijua vizuri na nyie ndo mnamuaminisha kua hali ya siasa jimbon iko shwari, mmebugi.

Hakuna mtu ambae hujatambua mchango WA Lissu ktk mstakabali WA taifa hili jimboni kwake. Wee umetumwa na nduguyo ifweeeeeero hatuwataki. Lissu pigs kazi
 
Nategemea na naamini Jf ni jukwaa na uwanja wa facts na sio fillings, tuambizane ukwel na tujisahihishe, jimbon kwa Lissu hali mbaya sana kimaendeleo na kwake pia kwa uchaguz ujao.
We kweli unamatatizo ya ubongo, tuoneshe majimbo yenye maendeleo katika nchi hii! kwani maendeleo huletwa na mbunge? kwani kazi ya mbunge ni kuleta maendeleo? Wacha kutumiwa kama "condom" wewe!
 
Kwa mnaoona anaweza kugombea jimbo lolote jingne, jaribuni sumu hio. mbona akina mnyika na wengne wanazungumzia sana mambo ya kwnye majimbo yao na ya kitaifa wapo WHY NOT LISSU?
MNAFIKI SANA WEWE,Ulijifanya umempa kura yako LISU na kuwa wewe ni CDM.kwa hili tayari ushajiweka wazi kuwa wewe ni CCM.Acha UNAFIKI hautokusaidia.
 
Lissu is no longer a province figure, but ruther a national figure. Msijidanganye kuwa mtu akishakuwa mbunge basi yeye ni kuongea ya jimboni kwake tu ndani ya bunge. Futeni hilo ndani ya vichwa vyenu na mjue kuwa mbunge ni mwakilishi wa wananchi wote kupitia jimbo fulani la uchaguzi na hana mipaka juu ya aongee nini na aache nini ndani ya bunge. As long as ni mbunge maslahi ya taifa kwanza na vingine vinafuata.
Hongera mg. Lissu kwa kuwa ndani wa kuigwa kwa kutetea maslahi ya kitaifa na kukosoa pale panapoonekana hapako sawa au hapakuwa sawa.
Kama Lissu ni national figure basi ndio maana hilo li nchi liko kwenye kundi la nchi maskini na zenye IQ ndogo...natinal figure kichaa??
 
Kama Lissu ni national figure basi ndio maana hilo li nchi liko kwenye kundi la nchi maskini na zenye IQ ndogo...natinal figure kichaa??
Mihemuko yako ya kisiasa na Chuki zako zisikufanye ufikie hatua ya kumwita mtu kichaa bila uthibitisho wa daktari.
 
Mhe. Lissu kwa mtindo wa siasa na hamasa duni kwa sisi wapiga kura wako 2015 maeneo ya isuna, mungaa, mang'onyi, ntuntu, matongo,mahambe (nyumban kwako), mpaka iglanson na kwngneko. Umefanya siasa kinzani na serikali bila kujali tunaoumia ni sisi wananchi wa kawaida, fanya bidii upate viongoz ktk ngaz za vitongoji, vijiji na kata ndipo utapoweza kufuatilia na kusimamia maendeleo, vnginevyo utaishia kushabikiwa na kushangiliwa na watu ambao hata jimbon kwako hawapajui.
msambaru hapo kwenye viongozi wa kijiji,kitongoji na kata upo sawa umetoa ushauri mzuri tu,basi nawe jumuika kumsaidia kamanda uchaguzi wa serkali za mitaa mpate viongozi hao uliowataja ili jimbo lote liwe cdm,lakini pia wacha sie wengine tumshangilie mana kazi anayofanya mbunge wenu lisu sio kukomboa jimbo lenu tu,bali Tanzania kwa ujumla,msapoti jembe lisu tukafaidi lasiri mali za inchi yetu.
 
Sawa, ila mnaodhan yeye ni level ya taifa basi aachie jimbo awe mwanaharakati na sio mbunge, mnawaona wapga kura wake wajinga? siku inakuja nayo yaja upesi, mi ni mwanachama hai wa Cdm ila sijalewa sifa za chama kiasi cha kujisahau kua chama kwanza jimbo badae, mnampotosha.
lissu hategemei ubunge kutetea watanzania,amekuwa mtetezi kabla hata ya ubunge,na msipomchagua nyie huku mwanza tunamhitaji saana tu na tuko mbioni kuongea nae kumshawishi agombee huku...it will be a great honor to us,na siku zote NABII HATAMBULIKI KWAO,BIG UP LSSU
 
msambaru;
Hoja yangu si kumtaka mbunge Lissu atoe pesa mfukon, nachomaanisha hayupo tayari kuhamasisha wapga kura wake hata kushirikiana na wadau mbalimbali ktk kuleta maendeleo, kwa mfano ktk kijij cha mang'onyi amekua tatizo ktk kufikia muafaka na kampun ya shanta gold mine ambayo imeanzisha mradi wa visima virefu na tayari vmechimbwa, ktk kuleta dhana ya umiliki wa mradi wananchi walitakiwa wachimbe mitaro kwenda kwenye maeneo yao jambo ambalo halitak pia, je hapo serikal wanahusikaje?


Mnio wa manyokwe wang'u, nene wayo ni wo Mang'onyi shanta ahembi nee akuu, visima gani wanataka kujenga na Lissu anakataa???

Acha ujinga mhumba wo khaya!

shanta wamechukua maeneo yetu kwa nguvu bila hata senti tano!
 
Kwa taarifa tu wanajukwaa huyu mleta mada ni kilaza, Jimbo kwetu hakuna wakushindana na Lissu kwa namna yeyote ileee, hata aje agombee JK,

Mm ni mwenyeji wa Mang'onyi ulipo mgodi wa Shanta mining kwa kweli tunamshukuru sana Mh. Lissu kwa kazi kubwa anayoifanya, kwani asingekuwepo tungeshafukuzwa ktk maeneo yetu tuliyozaliwa bila kulipwa hata sh. kumi na hawa interahamwe kwa kushirikiana na wazungu wa shanta Mining,
Hivi tunavyozungumza Lissu mkereketwa wa maendeleo anafadhili shule moja ya msingi huko kijiji cha Taru karibu kabisa na kijiji cha kilaza mtoa mada Msambaru ikiwa ina watoto darasa la tano lakini kwa kuwa serikali haiwapendi wananchi wale ile shule mpaka leo haijapewa usajili hivyo kukosa huduma mhimu za kifedha kisa tu lilikuwa wazo la Lissu anaongoza hili jimbo!

Si hili tu barabara zimetengenezwa kwa kiwango cha kuridhisha cha changarawe mfano barabara ya Ikungi-mang'onyi-sambaru-london-Manyoni.

Mang'onyi-Msemembo toka tupate uhuru hapajawahi kuwa na hiyo barabara lakini miaka 3 ya Lissu leo barabara safi kabsaa!

pia barabara ya Singida (m)-makiungu-msughaa-ntuntu-ntewa inapitika muda kwa sasa!

Hiyo ni kwa uchache wake yapo mengi nikianza kuandika tutakesha!

ila nakuomba ww Msambaru kutoka Sambaru umshukuru sana Lissu, kwani bila Lissu usingeweza kupost hii pumba yako hapa, network unayotumia na unajidai kabsa ni kwa sababu ya Lissu,

Pia kingine Huko kwenu sambaru napajua nyie ni wavivu wa kutupwa!

kwendeni zetu na NJAU wenu ila sisi Lissu forever.
 
Acha apiganie haki za wengi,

Kwanza jiulize, hao wabunge wengine wameleta mabadiliko gani sehemu wanazotoka kabla ya kumshambulia Lisu. Shida zote mnazopata ni kwa sababu ya serikali yenu dhaifu ya intarahamwe,

Mwambie huyo aelewe kuwa lisu hayuko kwa ajiri ya singida tu
 
Mhe. Lissu kwa mtindo wa siasa na hamasa duni kwa sisi wapiga kura wako 2015 maeneo ya isuna, mungaa, mang'onyi, ntuntu, matongo,mahambe (nyumban kwako), mpaka iglanson na kwngneko.

Umefanya siasa kinzani na serikali bila kujali tunaoumia ni sisi wananchi wa kawaida, fanya bidii upate viongoz ktk ngaz za vitongoji, vijiji na kata ndipo utapoweza kufuatilia na kusimamia maendeleo, vnginevyo utaishia kushabikiwa na kushangiliwa na watu ambao hata jimbon kwako hawapajui.

Msambaru na Sambaru yako nadhani hujui Lissu alikuwa akifanya harakati kabla ya kuchaguliwa kuwa mbunge. Ni uanaharakati ndio uliotufanya wanaSingida Mashariki tuone hiyo potential yake. Lissu hana mpinzani 2015 jimboni kwa sasa, kama ulizoea vilaza akina Missanga basi hawana nafasi kwa sasa. Acha kumisslead JF kwa false impressions. Watz wengi wanatamani wangekuwa na mbunge active kama Lissu, ww unaleta porojo za kifisadi hapa! Lissu is unbeatable for now. Period!
Nawakililisha "team Lissu" kutoka Mungaa hasa headquaters, Makiungu...teams za Ntuntu, Misughaa, Isuna .... zinataarifu hali ni shwari, mafisadi hawana chao.

Go, Lissu goooo..... njaghamba iuhoma ilolo...bwiii!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom