Ndugu wana JF,
Kama Dr Slaa akikataa kukubali matokeo ya uchaguzi uliomalizika punde na kutangazwa Kikwete ndio mshindi. Tunakumbuka jinsi hali ilivyokuwa kule zanzibar baada ya uchaguzi wa kwanza Maalim Seif alikataa matokeo na nchi ikaingia kwenye mgogoro mkubwa wa kisiasa uliopelekea misaada kutoka nchi wahisani kusitishwa sio kwa Tanzania visiwani tu bali mpaka kwa upande wa Tanzania bara.
Kwa maana hiyo nachukua nafasi hii kumsii Dr Slaa akubali kama wenzake walivyokubali lakini at the same time atoe dukuduku lake nini kifanyike ili next election kuwe kuna fair election.
Maalim Seif sio kama ameshindwa ila ameangalia mbali sana na kuona kwanini wananchi wa Zanzibar waumie kimaisha kwa ajili ya siasa? ameamua kukubali ili wajenge nchi na polepole CUF kujenga trust kwa wananchi na jumuia za kimataifa kuwa wanaweza kutawala na sio CCM pekee inayoweza kama Mkapa navyojinasibu.
My take:
Slaa akubali kushindwa aseme uchaguzi ulikuwa huru ila haukua wa haki na atoe facts zake maana kwa kukataa maisha ya mwananchi wa kawaida yatakuwa magumu na ile ndoto ya saruji kupungua bei maana atakapokuja kutwaa uongozi hapo baadae bei itakuwa imepaa sana.
Mhe. Dr Slaa kukataa kwako kutasababisha ugumu wa maisha kwetu ila wale unaowagomea wao wataendelea kula kuku kwa mrija take your time fikiria kwa makini.
Naomba tulijadili hili.

Mkuu PakaJimmy, heshima mbele!! Tatizo la vita, ni vigumu sana kutabiri kama itakuwa kidogo au sana. Mkishaanza kuua mtu mmoja, basi vitafuata visasi. Hapo ndipo mtakaposhangaa kwamba vita inaenea kila kona ya nchi, na hata usuluhishaji unakuwa mgumu. Unafikiri wanyarwanda walijua kama wangefikia kuuana kiasi kile? Mimi nafikiri tusiende huko wakuu zangu, wanyarwanda, waburundi, wakongo, wasomali, wasudan, wanauana kila siku, na hakuna kilichobadilika. Maisha yao yameendelea kuwa as hectic as it was before those killings. Ni bora tuitwe makondoo lakini tuwe salama.Msianze kutubembeleza saa hizi!
This is just the dawn of situation!...kwani hamkujua what could be the end results za kufanya ridging?
Tusipoumia kidogo kama taifa tutaendelea kufanya makosa coming 2015.
Nitafurahi sana tukipitia kwenye wakati mgumu!
Slaa, wembe ni uleule, tuko nyuma yako sana!
Misaada?
Misaaada?
misaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaada?
Hopeless thinking
Ndugu wana JF,
Kama Dr Slaa akikataa kukubali matokeo ya uchaguzi uliomalizika punde na kutangazwa Kikwete ndio mshindi. Tunakumbuka jinsi hali ilivyokuwa kule zanzibar baada ya uchaguzi wa kwanza Maalim Seif alikataa matokeo na nchi ikaingia kwenye mgogoro mkubwa wa kisiasa uliopelekea misaada kutoka nchi wahisani kusitishwa sio kwa Tanzania visiwani tu bali mpaka kwa upande wa Tanzania bara.
Kwa maana hiyo nachukua nafasi hii kumsii Dr Slaa akubali kama wenzake walivyokubali lakini at the same time atoe dukuduku lake nini kifanyike ili next election kuwe kuna fair election.
Maalim Seif sio kama ameshindwa ila ameangalia mbali sana na kuona kwanini wananchi wa Zanzibar waumie kimaisha kwa ajili ya siasa? ameamua kukubali ili wajenge nchi na polepole CUF kujenga trust kwa wananchi na jumuia za kimataifa kuwa wanaweza kutawala na sio CCM pekee inayoweza kama Mkapa navyojinasibu.
My take:
Slaa akubali kushindwa aseme uchaguzi ulikuwa huru ila haukua wa haki na atoe facts zake maana kwa kukataa maisha ya mwananchi wa kawaida yatakuwa magumu na ile ndoto ya saruji kupungua bei maana atakapokuja kutwaa uongozi hapo baadae bei itakuwa imepaa sana.
Mhe. Dr Slaa kukataa kwako kutasababisha ugumu wa maisha kwetu ila wale unaowagomea wao wataendelea kula kuku kwa mrija take your time fikiria kwa makini.
Naomba tulijadili hili.
We ulietoa mada ni waukweli mno,watakaokufa ni watu wa kawaida na hawa mashabiki wenye jazba za kushindwa.
yaani unakubali kuuza haki yako eti kisa ni misaada,duh ndio maana tutaendelea kuwa masikini kwa kuwa viwete wa akili,fedha wanazozitumia kutunyang'anya haki kama zingetumika vizuri wala tusingehitaji hiyo misaada.Ni kuulize hivi tanzania tumeanza kupewa misaada tangu lini? je hiyo misaada huwa inawafikia walengwa?Tatizo la watanzania ni wepesoi sana wa kukata tamaa na kujifnya kusamehe kinafiki wakati wanaumia,mbadilike lasivyo miaka mingine 50 inakuja na mtaendelea kuwa hivyo hivyo,wenye navyo wanaendelea kuwa mabilionea na masikini wanazidi kufia ndani hata msosi hawajui waende wapi wakale.