Mhe. Chikawe, CCM na Tanzania viliuacha ujamaa lini?

Shame on this Chikawe!! Hajui katiba ya nchi na wala hajui katiba ya Chama chake! Eti ndio viongozi wa nchi hao! Mmmmmmmmmmmmmmmmmmh!
 
wanasiasa karibu wote hapa bongo wako kwenye payroll ya Rostam, watamkamata vipi?

Kuna taarifa kwamba Rostam alijaribu kuwa-mobilize vijana huko kwenye jimbo lake waandamane kupinga yaliyosemwa kwenye Kongamano la Taasisi ya Mwalimu Nyerere akatoka KAPA! Vijana wakamkatalia!!!
 
Mara zote Chikawe huwa anaongea PUMBA TU? wana jamii niambieni ni lini mmeishawahi kumsikia akiongea point? haya ndo mapungufu ya viongozi wanaoteuliwa na kikwete na uelewa wao mdogo wanaweza kweli kutuletea maendeleo?
 
Mara zote Chikawe huwa anaongea PUMBA TU? wana jamii niambieni ni lini mmeishawahi kumsikia akiongea point? haya ndo mapungufu ya viongozi wanaoteuliwa na kikwete na uelewa wao mdogo wanaweza kweli kutuletea maendeleo?

Sidhani kama tatizo ni uelewa mdogo,mie nafikiri tamaa ya mali imewapofusha kiasi kwamba hawaoni wala hawasikii la wananchi...hii pia imewafanya wafikiri only on the lines of their masters
 
MM,

Zaidi ya kusema kuwa tuko kwenye mfumo wa kibepari, kautukana ujamaa na mfumo wake kwa kusema mambo ya kukamata kama vile wakati wa ujamaa ilikuwa ni udhalimu mkubwa. Zaidi aliposema kuwa Sokoine na kamata kamata ya ovyo!

Sasa wao na ubepari wana sera ya achia achia ovyo, hivyo tuikubali?

Si umesikia Ole Naiko anadai wana ardhi heka laki mbili kwa wawekezaji wa Kilimo Kwanza lakini hataki kusema ardhi hii iko sehemu gani eti ni suala nyeti?

Gademu Shiti!

Hivi babu wataifa hili alisemaje vile.....nukuu isiyo rasmii '...azimio wamelizika kimya kimya kule Zanzibar na walipo rudi wenye akili tulijua ndo hivyo tena ujamaa umefariki....' Rev hiyo ndo ilikua kauli rasmi ya kuanza mfumo mpya pamoja na kuwa sidhani kama ni kweli mfumo tulionao ni ubepari kweli bali kwa tafsiri yangu 'kila mbuzi kula kwa urefu wa kamba yake'; sasa kama kamba yako ni fupi pole....hakika kausemea moyo wake for even though its a bitter pill but that's the reality for kwa matunda yao mta wa jua. Je si tulipanda mzabibu mwema na kumbe ukazaa mzabibu mwitu. Ni kivuli cha mjamaa babu yetu ndo kinaogopwa lakini kikishafifia tutapaza sauti na kukubali kweli UJAMAAA ulifariki mwaka ule.....
 
Mara zote Chikawe huwa anaongea PUMBA TU? wana jamii niambieni ni lini mmeishawahi kumsikia akiongea point? haya ndo mapungufu ya viongozi wanaoteuliwa na kikwete na uelewa wao mdogo wanaweza kweli kutuletea maendeleo?

Huwa anaongea point mara nyingi na mara chache pumba. Hili moja haliwezi kuwa ndio mara zote.
 
GENERALSalutationHonourableMember picture
1385.jpg
First Name: MathiasMiddle Name: MeinradLast Name:ChikaweMember Type:Constituency MemberConstituent: NachingweaPolitical Party: CHAMA CHA MAPINDUZIOffice Location: P.O.Box 9050, Dar es SalaamOffice Phone:
+255 713 325087Ext.: Office Fax: Office E-mail: mchikawe@parliament.go.tzMember Status: Current MemberStart Date: 28 December 2005 End Date:27 December 2010 Date of Birth 30 May 1951 EDUCATIONSSchool Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevelHollandPostGraduate Diploma - International Law & Dev.19811982POSTGRADUATEUKPostGraduate Diploma in Management19771978POSTGRADUATEUniversity of Dar es SalaamLL.B (Hons)19721975GRADUATEMkwawa High SchoolA-Level Education19701971HIGH SCHOOLSt. Joseph's Convert Secondary SchoolO-Level Education19661969SECONDARYSt. Joseph's Convert Primary SchoolPrimary Education19591965PRIMARYCERTIFICATIONS Certification Name or TypeCertification No. </SPAN>IssuedExpires</SPAN>No items on listEMPLOYMENT HISTORY Company Name Position From DateTo DateTanzania GovernmentState Attorney III & Executive Secretary19752005POLITICAL EXPERIENCE Ministry/Political Party/Location Position FromToChama Cha Mapinduzi - CCMMember of Parliament of Tanzania20052010Chama Cha Mapinduzi - CCMMember1977TodateTanganyika African National Union - TANUMember19721977Tanganyika Youth LeagueMember of TYL19681972PUBLICATIONSDescription Published DateNo items on listSPECIAL SKILLSSkill Name or Description Years Experience Acquired Through Skill LevelNo items on listRECOGNITIONS Recognition TypeRecognition DateReasonAction TakenIssued byNo items on listGENERALSalutationHonourableMember picture
1385.jpg
First Name: MathiasMiddle Name: MeinradLast Name:ChikaweMember Type:Constituency MemberConstituent: NachingweaPolitical Party: CHAMA CHA MAPINDUZIOffice Location: P.O.Box 9050, Dar es SalaamOffice Phone:
+255 713 325087Ext.: Office Fax: Office E-mail: mchikawe@parliament.go.tzMember Status: Current MemberStart Date: 28 December 2005 End Date:27 December 2010 Date of Birth 30 May 1951 EDUCATIONSSchool Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevelHollandPostGraduate Diploma - International Law & Dev.19811982POSTGRADUATEUKPostGraduate Diploma in Management19771978POSTGRADUATEUniversity of Dar es SalaamLL.B (Hons)19721975GRADUATEMkwawa High SchoolA-Level Education19701971HIGH SCHOOLSt. Joseph's Convert Secondary SchoolO-Level Education19661969SECONDARYSt. Joseph's Convert Primary SchoolPrimary Education19591965PRIMARYCERTIFICATIONS Certification Name or TypeCertification No. </SPAN>IssuedExpires</SPAN>No items on listEMPLOYMENT HISTORY Company Name Position From DateTo DateTanzania GovernmentState Attorney III & Executive Secretary19752005POLITICAL EXPERIENCE Ministry/Political Party/Location Position FromToChama Cha Mapinduzi - CCMMember of Parliament of Tanzania20052010Chama Cha Mapinduzi - CCMMember1977TodateTanganyika African National Union - TANUMember19721977Tanganyika Youth LeagueMember of TYL19681972PUBLICATIONSDescription Published DateNo items on listSPECIAL SKILLSSkill Name or Description Years Experience Acquired Through Skill LevelNo items on listRECOGNITIONS Recognition TypeRecognition DateReasonAction TakenIssued byNo items on listGENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
First Name:
Mathias
Middle Name:
Meinrad
Last Name:
Chikawe
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Nachingwea
Political Party:
CHAMA CHA MAPINDUZI
Office Location:
P.O.Box 9050, Dar es Salaam
Office Phone:


+255 713 325087
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
mchikawe@parliament.go.tz
Member Status:
Current Member
Start Date:
28 December 2005
End Date:
27 December 2010
Date of Birth
30 May 1951


EDUCATIONS
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Holland
PostGraduate Diploma - International Law & Dev.
1981
1982
POSTGRADUATE
UK
PostGraduate Diploma in Management
1977
1978
POSTGRADUATE
University of Dar es Salaam
LL.B (Hons)
1972
1975
GRADUATE
Mkwawa High School
A-Level Education
1970
1971
HIGH SCHOOL
St. Joseph's Convert Secondary School
O-Level Education
1966
1969
SECONDARY
St. Joseph's Convert Primary School
Primary Education
1959
1965
PRIMARY


CERTIFICATIONS
Certification Name or Type
Certification No.
Issued
Expires
No items on list


EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From Date
To Date
Tanzania Government
State Attorney III & Executive Secretary
1975
2005


POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location
Position
From
To
Chama Cha Mapinduzi - CCM
Member of Parliament of Tanzania
2005
2010
Chama Cha Mapinduzi - CCM
Member
1977
Todate
Tanganyika African National Union - TANU
Member
1972
1977
Tanganyika Youth League
Member of TYL
1968
1972


PUBLICATIONS
Description
Published Date
No items on list


SPECIAL SKILLS
Skill Name or Description
Years Experience
Acquired Through
Skill Level
No items on list


RECOGNITIONS
Recognition Type
Recognition Date
Reason
Action Taken
Issued by
No items on list



Hebu tuchambue zaidi kwani huyu waziri nafikiri si yeye wakuja na majibu rahisi na ovyo ovyo kwenye big issue kama hii ambayo inatarajiwa kuongelewa na Bunge letu hivi karibuni, kwangu mie nafikiri anaamini kuwa anatia maji kwenye mjadala wa Richmond kumbe anatia mafuta
 
PHP:
[quote]rais alikutana na baraza la mawaziri na hicho ndicho walichozungumza, kikwete aliwaomba wale wanaojuwa sheria wamuokowe na sasa ndiyo wanatoka kumuokowa,[/quote]

Tulishangaa ya Waziri Sofia Simba, sasa tunaona ya waziri mwingine Chikawe. Hivi ndivyo Mkulu anavyoakisi utawala wake
 
Ana mtindio wa ubongo...maana aanaona asipompalilia best yake akipigwa chini ataenda wapi??maana amefanya kazi moja tuuu miaka zaidi 25 amedumaa kiakili na mtazano....nadhani si kosa lake tumsaidie...ana mtindio wa ujk..
 
Wanaostushwa na matamashi kama haya hawajui Watanzania wala siasa ya Tanzania - Mh. Chikawe hapa amejaribu kuwa mkweli kwa nafsi yake na jukumu lake la kulinda na kutetea mikakati ya anaowawakilisha. Bunge litapiga kelele, Butiku na timu yake watapiga kelele, Mwakyembe na kundi lake watapiga kelele lakini wote hao mwisho wa siku wanarudi kwenye jumba lao la ibada. Humo ndani watatoleana macho - kuna watakaolia, watakaoomba radhi na watakaosamehewa lakini mwisho watasuka mbinu mpya za kutumbua zaidi.

Wapinzani watapiga kelele, wanaharakati watalalamika, viongozi wa dini wataguna lakini maslahi ya CCM lazima yalindwe hata kwa mtutu wa bunduki. Sheria zitavunjwa, katiba itasiginwa, haki itaminywa lakini lishe ya CCM lazima ipatikane hata kama hospitali hazina dawa na shule hazina waalimu. Wizi utashamiri, uzembe utavumiliwa, ufisadi rukhsa mradi CCM inaneemeka, inastawi na viongozi wake hawaguswi. Uwongo, ulaghai, utapeli vyote ni halali kwa CCM na kama vinaweza kutumika kukiimarisha chama, well and good.

Tukisema maamuzi ya bunge letu lazima yapate baraka za NEC, nani anabisha ? Sasa kwa nini tunatafuna mamilioni kuendesha uchaguzi wa wabunge kama kazi yao ni kurubber stamp maamuzi ya NEC. Kwa nini tunawalipa mishahara ya mamilioni na posho za vikao kama bajeti tayari imepitishwa NEC. Kwa nini wananchi milioni 40 tumeruhusu kikundi cha mafisadi milioni nne kutapanya mali za taifa letu chini ya kivuli cha CCM miaka nenda rudi. My, God what is wrong with us, the whole world is laughing at us.
 
Katiba ya Tanzania inatamka wazi kua hii ni nchi ya Kijamaa. Kwea faida ya wana JF nanukuu vifungu hivyo kama ifuatavyo...

Misingi ya Katiba (Preamble) inasema...

KWA KUWA​
SISI Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi
yetu jamii inayozingatia misingi ya uhuru, haki, udugu na
amani:

NA KWA KUWA​
misingi hiyo yaweza tu kutekelezwa katika
jamii yenye demokrasia ambayo serikali yake husimamiwa na
Bunge lenye wajumbe waliochaguliwa na linalowawakilisha
wananchi, na pia yenye Mahakama huru zinazotekeleza wajibu
wa kutoa haki bila woga wala upendeleo wowote, na hivyo
kuhakikisha kwamba haki zote za binadamu zinadumishwa na
kulindwa, na wajibu wa kila mtu unatekelezwa kwa uaminifu:

KWA HIYO, BASI, KATIBA HII IMETUNGWA NA BUNGE
MAALUM LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,​
kwa niaba ya Wananchi, kwa madhumuni ya kujenga jamii
kama hiyo, na pia kwa ajili ya kuhakikisha kwamba Tanzania
inaongozwa na Serikali yenye kufuata misingi ya demokrasia
na ujamaa.

na Ibara ya 9 inasema...
Lengo la Katiba hii ni kuwezesha ujenzi wa Jamhuri ya
Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar au wa
chochote kati ya vyombo vyake na udugu na amani kutokana na
kufuata siasa ya Ujamaa na Kujitegemea, ambayo inasisitiza
utekelezaji wa misingi ya kijamaa kwa kuzingatia mazingira
yaliyomo katika Jamhuri ya Muungano. Kwa hiyo, Mamlaka ya
Nchi na vyombo vyake vyote vinawajibika kuelekeza sera na
shughuli zake zote katika lengo la kuhakikisha-
(a) kwamba utu na haki nyinginezo zote za binadamu
zinaheshimiwa na kuthaminiwa;
(b) kwamba sheria za nchi zinalindwa na kutekelezwa;
(c) kwamba shughuli za Serikali zinatekelezwa kwa njia
ambazo zitahakikisha kwamba utajiri wa Taifa
unaendelezwa, unahifadhiwa na unatumiwa kwa
manufaa ya wananchi wote kwa jumla na pia kuzuia
mtu kumyonya mtu mwingine;
(d) kwamba maendeleo ya uchumi wa Taifa yanakuzwa
na kupangwa kwa ulinganifu na kwa pamoja;
(e) kwamba kila mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi
anafanya kazi, na kazi maana yake ni shughuli
yoyote ya halali inayompatia mtu riziki yake;
(f) kwamba heshima ya binadamu inahifadhiwa na
kudumishwa kwa kufuata Kanuni za Tangazo la
Dunia kuhusu Haki za Binadamu;
(g) kwamba Serikali na vyombo vyake vyote vya umma
vinatoa nafasi zilizo sawa kwa raia wote, wake kwa
waume, bila ya kujali rangi, kabila, dini au hali ya
mtu;
(h) kwamba aina zote za dhuluma, vitisho, ubaguzi,
rushwa, uonevu au upendeleo zinaondolewa nchini;
(i) kwamba matumizi ya utajiri wa Taifa yanatilia mkazo
maendeleo ya wananchi na hasa zaidi
yanaelekezwa kwenye jitihada ya kuondosha
umaskini, ujinga na maradhi;
(j) kwamba shughuli za uchumi haziendeshwi kwa njia
zinazoweza kusababisha ulimbikizaji wa mali au njia
kuu za uchumi katika mamlaka ya watu wachache
binafsi;
(k) kwamba nchi inatawaliwa kwa kufuata misingi ya
demokrasia na ujamaa.

Kwa msimamo wa Kikatiba hapo juu ambayo ndio Sheria mama inasema hii ni nchi ya kijamaa...Kwa maoni yangu kama alivyowahi kuserma msomi mmoja ''we are dancing Capitalism while playing socialism.
 
Katiba na mambo yote hapa yanatokana na kuwa na katiba isiweka misingi imara ya Taifa hili mara ujamaa mara kumbe sio kweli, Tunafuta ubebari ila katika inasema ujamaa hapa tayari tumekiuka misingi ya katiba
 
Viongozi wetu si kuwa wamelewa au hawajaelimika, bali kipindi tupitiacho ni kile cha ulimbikizaji wa mali na madaraka mikononi mwa watu wachache ( IRON LAW OF OLIGARCHIES). Kudhibiti hali hii ni kuwa na bunge lenye upinzani wenye uwiano na chama tawala. Hivyo 2010 si mbali tukusanye nguvu, ilhali tukijua mbwa kashika mfupa, tuwe na wabunge wa upinzani wa kutosha. Hili litawafanya akina Chikawes kujua katiba inasema nini.
 
Back
Top Bottom