Mapya Yaja
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 560
- 403
Sidhani kama unajua unachokiongea. Mimi nilipata dv 2 form iv na form vi lakini ni mwalimu. Isitoshe walimu wengi wa sekondari ni wale wenye div I-III.Ualimu IV NS vi lakini ni mwalimu
sehemu nyeti huwezi kulinganisha na sehemu ulizozitaja.Wote uliowataja wanatokana na mwalimu, hivyo mwalimu akiwa mbovu kila kitu kinakuwa kibovu.
Let us face the reality! Kuna mwanafunzi aliyepata division 1 or 2 (nadhani hata three??????) akaenda ualimu?
Kwa nini hukwenda form five? Mwaka gani na shule gani? Kama kuna wengine kama wewe wana sababu au wewe una sababu zako unazozijua wewe na ni WACHACHE- NEGLIGIBLE!Sidhani kama unajua unachokiongea. Mimi nilipata dv 2 form iv
Nimesoma robo tu ya andiko lako, lakini nikajua kwa haraka haraka unaona dosari ya hoja za Mh Bashe. Kutoka moyoni, BASHE yuko SAHIHI. nampongeza kwa kujipambanua kuwa msema ukweli. Sina hakika chama kama kitamuona ni mbaya au la,lakini hoja zake ziko Kizalendo!Mhe. Bashe kwanza hongera sana kwa kuingia bungeni baada ya kufanyiwa figisu nyingi 2010 na hatimaye ukaenguliwa eti wewe si mtanzania. Na kwa kipindi kifupi tu jina lako limeanza kuingia vichwani mwa watanzania wachache wanofuatilia bunge manane ya usiku.
Nakuja hapa kukutaka utengue kauli yako iliyonukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari kwamba "ualimu ni kichaka cha waliofeli". Binafsi sijakusikia wala kukuona moja kwa moja kwa kuwa hilo bunge lenu linalooneshwa manane ya usiku wala sina habari nalo. Lkn kwa kuwa hujakanusha nukuu hii iliyoenea katika vyombo vyote vya habari bila shaka uliitoa kauli hii.
Kauli hii inawezekana uliitoa kwa dhamira njema kabisa lkn hukufikiria madhara yake kwa ualimu na walimu. Maana inatweza na kudhalilisha ualimu na walimu. Kwa mtu wa hadhi yako unayesifika kuwa mwanasiasa machachari unayechipukia unapaswa kuwa makini kabla ya kufungua kinywa chako.
Jiulize maswali yafuatayo mhe. Bashe.
1. Kufeli maana yake nn?
2. Taasisi nyingine za serikali hakuna waliofeli?
Elimu ni uwezo wa kutambua na kupambana/kukabiliana na changamoto zilizopo ktk mazingira. Anaye elimika anapaswa kuwa huru kifikra na kiuchumi.
Kimsingi elimu ktk taifa letu haimpi msomi ujuzi na uwezo wa kutambua na kupambana na changamoto zinazomzunguka. Tumeshuhudia mkuu wa mkoa aliyekuwa mstari wa mbele kuhimiza vijana wajiajiri akilia njaa baada ya kuondolewa kwenye nafasi hiyo.
Yawezekana hata wewe Bashe unajiona mwenye kufaulu kwasabb tu umepata ubunge. Nje ya ubunge huna mbinu ya kupata mlo au kuendesha maisha
Tunaona maprofesa wakililia mikataba ya kuendelea na kazi hata baada ya kufikia umri wa kustaafu. Hii ni ishara tosha kuwa hawana ujuzi na uwezo wa kupambana nje ya ajira.
Lkn kama taasisi nyingine zina waliofaulu. Inakuwaje walimu waliofeli wakaingia kwenye ajira ili hali mifumo ya kuajiri serikalini imeshikwa na walioelimika??
Mhe. Bashe ulikuwa too specific katika kauli yako. Ingekuwa vema ungesema "serikalini ni kichaka cha waliofeli".
-bungeni hakuna waliofeli?
-polisi hakuna waliofeli?
-mahospitalini hakuna waliofeli?
- jeshinini hakuna waliofeli?
- wizarani hakuna waliofeli?
-tra, pccb, ewura, n.k hakuna waliofeli huko?
Nionavyo mm watanzania wote wamefeli. Ndiyo maana hata chama chako kikakuzushia kashfa zisizo na miguu kuwa wewe ni msomali ili tu usiwe mbunge. Waliofaulu wanaweza kufanya hivyo?
Lkn waliofaulu wamefanya nn ktk nchi hii? Mm naona kuna walioenda shule na kupata vyeti tu. Ndiyo maana nchi ina kila kitu halafu umaskini umekithiri. Mpk leo nchi inaagiza vijiti vya kuchokonolea meno!!!? Hao waliofaulu wako wapi?
Majengo, yanaanguka hovyo, miji yetu yote haijapangwa, viwanda vinakufa kuna waliofaulu kweli? Kuna watakao kuja na majibu ya watunga sera na sheria. Hawa pia wamefaulu??
Daah!! Niishie hapa.
Wako Kigodoro.
CCM watamfukuza! Hawataki ukweliNimesoma robo tu ya andiko lako, lakini nikajua kwa haraka haraka unaona dosari ya hoja za Mh Bashe. Kutoka moyoni, BASHE yuko SAHIHI. nampongeza kwa kujipambanua kuwa msema ukweli. Sina hakika chama kama kitamuona ni mbaya au la,lakini hoja zake ziko Kizalendo!
nn eistein na billgate,?Hata einstein na billgate walifeli shule ila sio maisha
kwa hiyo walimu wenu walikuwa na ufaulu gani mkuu? walikuwa na division one tu?Hapana sikufundishwa na hao please. Nimemaliza University 1983! Hapakuwa na upuuzi wa sasa. Afterall University ilikuwa moja usingelithubutu kwenda huko bila sifa
Umesomea ualimu kwa vile labda kwa ajili ya uhaba wa ajira/mikopo- wazazi kutokuwa na uwezo kifedha. Watoto wetu wanakwenda huko na div 1 ya form six (kupata ajira with hope kuwa kwa vile form six pass zangu ni nzuri nitabadilisha mbele, na wengi wamefanya hivyo kama vyeti vyao vya form six ni vizuri) not form 4.
mkuu usikariri vibaya. sio kila mwenye division one lazima aende form five. amka.Kwa nini hukwenda form five? Mwaka gani na shule gani? Kama kuna wengine kama wewe wana sababu au wewe una sababu zako unazozijua wewe na ni WACHACHE- NEGLIGIBLE!
Usilinganishe hao na Tanzania situation. Einstein alikataliwa kuwa lecturer kwa vile hakuwa na vigezo walivyokuwa wanavihitaji pale-passes, sio kuwa alikuwa na div 4 or zero! Hatujui Billgates background yake kwa nini alifeli! Kuna wanafunzi wana akili lakini hawasomi. Tulikuwa naye alikuwa na akili sana form 4 akafeli zero kabisa. Baba yake alikuwa afisa elimu Mtwara, akarudia form3 akapata div 1 form 4&6. Akasoma medicine Muhimbili with flying colours. Akaenda Zimbabwe etc... He is dead now-RIP.nn Einstein na billgate,?
Je walienda kufundisha.Hata einstein na billgate walifeli shule ila sio maisha
Anakosea, huwezi kuukana ukweli, kuna waalimu wangapi wa div one?Nadhani huyo ni mwalimu anajitetea. Kuna mzazi anaweza kukubali mtoto wake Na div one aende ualimu baadala ya kwenda fomu faivu
Ualimu ni sehemu nyeti huwezi kulinganisha na sehemu ulizozitaja.Wote uliowataja wanatokana na mwalimu, hivyo mwalimu akiwa mbovu kila kitu kinakuwa kibovu.
Let us face the reality! Kuna mwanafunzi aliyepata division 1 or 2 (nadhani hata three??????) akaenda ualimu?
Einstein leo formula zake c ndo zinatumika kufundishia pia billgat n rolemodel ktk masuala y uchumiJe walienda kufundisha.
Soma kuna sabau kwa nini mtu wa div 1&2 anakwenda ualimu. Soma watu wametoa sabubu kwenye uzi huu! All in all ni wachache na wana sababu zao.Ndugu; ukiwa huna data nivizuri ukakaa kimya! One , two kwa uwalimu zimejaa . Nyie mnaonyooshea walimu vidole kwa nini mlipofaulu na hizo one za 7 na 3 hamkwenda uwalimu Kama mnaupenda sana kuukosoa?
Anakwenda wapi? Labda clinical officer very rare kwenye ualimu. Kuna ambao na mimi tunatoka kwenye familia masikini tunataka kusaidia familia, ni wachache!mkuu usikariri vibaya. sio kila mwenye division one lazima aende form five. amka.