de fcb1 fan
Member
- May 20, 2013
- 14
- 2
Mheshimiwa nina wasiwasi kama wakati unaandika uzi huu kama ulikuwa hujiponoi, maana kuanzia Title mpaka hapo kwenye red color majanga...Jamani matatizo tumeumbiwa wanadamu sio wanyama mimwenzenu nimejitahidi sana kuacha kujiponoa mwenyewe(nyeto) lakini nimeshindwa.......kama kuna fawa au njia mbadala plzzzzz tuchangiane mawazo ..........ba ndugu
Jamani matatizo tumeumbiwa wanadamu sio wanyama mimwenzenu nimejitahidi sana kuacha kujiponoa mwenyewe(nyeto) lakini nimeshindwa.......kama kuna fawa au njia mbadala plzzzzz tuchangiane mawazo ..........ba ndugu
kabla hatujakusaidia naomba ujibu maswali haya:
1. inatokea ukiwa wapi? (chumbani, bafuni, popote ukiwa peke yako etc)
2. Kwanini unataka kuacha? (imani yako, unaogopa side effects, you just feel guilty? unaogopa wasije kukuona one day? ect)
3. what are your hobies?
unajua anaweza kua very happy na anacho kifanya ila leo kafumaniwa ndio maana anataka aache.^^
haaaaaaaaaaa Una maswali mengi kwani we ni polisi?
Take it easy Mwali am in love with ur quetions!!
^^
Mheshimiwa nina wasiwasi kama wakati unaandika uzi huu kama ulikuwa hujiponoi, maana kuanzia Title mpaka hapo kwenye red color majanga...
Kinachokusumbua wewe hauko siriasi hata uandishi unaponoa tu
you never know threads na posts za Dr. MziziMkavu zimemtisha jombiii mtoa mada:couch2:unajua anaweza kua very happy na anacho kifanya ila leo kafumaniwa ndio maana anataka aache.
au maybe alikua kwao na alikua anajichua sana, sasa kahamia kwake, anaogopa ataongeza speed
au tena anafanya sababu anaishi peke yake, hafanyi sport, hana marafiki, hana girl friend etc.
Sasa akisha tupa mazingira halisi ya maisha yake, na mazingira ya matukio haya ndio tutajua cha kusema