Ukitaka ufaidi raha ya ngono usifanye na polisi atakuambia 'mikono juu'. Wala usifanye na mhasibu atakuwambia 'na huku lazima ubalansi' au nesi atasema 'mwengine ingia' nakushauri mara zote ufanye na mwalimu yeye utamsikia ' hapo rudia tenaa! tenaa! Vizuri sana....
hakimu jee?kuna jamaa yeye anao wote hao ili aweze kupata huduma za kijamii kwa urahisi ana demu nesi,mwalimu,banker,ardhi,tra,trafiki,polisi na hakimu!bila kuwa na mtu ofisi hizo utatoa rushwa sana