Mhariri Jambo Leo afariki dunia

Mhariri Jambo Leo afariki dunia

Mwitongo

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2009
Posts
312
Reaction score
362
Habari nilizozipata kutoka Jukwaa la Wahariri zinasema Mhariri wa Gazeti la Jambo Leo, Willy Edward amefariki dunia ghafla usiku wa leo mjini Morogoro. R.I.P Willy
 
Kwa jinsi gazeti hili lilisivyopendwa sitangaa msiba huu hapa jukwaani usipewe kipaumbele kama kafa sijui mfungwa tena mhalifu wa kutisha!!!!

Siasa mbaya sana.

Rip Willy.
 
Rest in PIECE Willy!

Tutakukumbuka kwa majungu na unafiki wako dhidi ya upinzani. Wasalimie magamba waliotangulia, waambie wenzao wengi tu watawafuata 2015 kwa pressure za kuogopa gereza
Las Mas Bobos
 
Last edited by a moderator:
Rest in PIECE Willy!

Tutakukumbuka kwa majungu na unafiki wako dhidi ya upinzani. Wasalimie magamba waliotangulia, waambie wenzao wengi tu watawafuata 2015 kwa pressure za kuogopa gereza
Las Mas Bobos

Umekusudia hivi hapo kwenye red?
Halafu take it ease man/woman!
 
Amefariki, lakini Mbona mwaleta siasa kwenye majonzi? Kwani kafariki kisiasa!?
 
Wacha wafu wazike wafu wao, sisi tuko busy na michuano ya Ulaya
 
Ingawa nilikuwa nakuchukia Pumzika kwa amani mhariri Willy, kwa maana kila nafsi itaonja umauti!
 
Alazwe mahali stahiki kutokana na matendo yake alifanya wakati wa uhai wake!
 
Yaani mtu amefariki halafu kuna mpumbavu mmoja eti analeta mzaha. Pumbavu!!!
 
Mmmhh!Bt inawezekana.Mnakumbuka kuna kiongoz fulan alikufa majuu,raia wakasema ngoja waburuze maiti kwenye lami.
 
R.I.P mhariri japo gazeti lenyewe uwa naishia kusoma headings tu.
 
Back
Top Bottom