mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 80,901
- 106,191
Cement kunaNitajie grade mojawapo ya cement unayoijua
Plus na kuna extra mzee
Na bei zake zinatofautiana
Ova
Cement kunaNitajie grade mojawapo ya cement unayoijua
Yeye alitumia kigezo ganiPM kalalamikia thamani ya kibanda haiendani na tsh 11 milioni
Yuko sahihi Kabisa kwamba kibanda kile hakina vigezo
Haitosh kama na amari.ina maana lazma tuchimbe chin zaidKama ni kibanda plus amari ya silaha hio 11 haitoshi.
Tofal inch 6 chiping.nondo mm 12 bcm bat gej 26 yan hapa nimekupa kitu kigumu military gradesMhandishi anazungumzia strength na quality ya material, ana uhakika hicho kibanda kinazo sifa hizo......
Wanasiasa wanatupelekesha sana, Kama ujenzi ulifata taratibu za tenda tulizozizoea Wakandarasi wana tabia wakiomba tenda wanaquote juu, huenda huyo wa 11 ndo alikuwa wa chini.😂😂😂 Mhandisi ni mawazo yake ila ajiulize swali dogo specification na BOQ ya hicho kibanda kinaendana na thamani hiyo ya 11m.. Hakika kibanda ni kidogo sanaaa. Gharama ni kubwa
Angeweka BoQ kusapoti anachokisema.Ni kauli ya Mhandisi majengo kutoka Chuo cha Ardhi. Anasema kibanda cha walinzi kina kanuni zake za ujenzi kwa sababu ni ofisi ya walinzi wenye silaha.
Amesisitiza Tsh. 11 milioni ni ndogo kujenga ofisi ya walinzi yenye viwango vya kikanuni na kiusalama!
Jumaa kareem!
Sio kila kampuni ina hayo matooeovya twiga mkuu bali kuna grade/class bila kujali kampuni nayo ni:Cement kuna
Plus na kuna extra mzee
Na bei zake zinatofautiana
Ova
Mhandisi anaitwa nani? Ni vizuri akaonesha mfano wa BOQ za majengo ya walinzi ama binafsi au ya serikali aliyowahi kusimamia, na siyo kufurahisha kijiwe.Ni kauli ya Mhandisi majengo kutoka Chuo cha Ardhi. Anasema kibanda cha walinzi kina kanuni zake za ujenzi kwa sababu ni ofisi ya walinzi wenye silaha.
Amesisitiza Tsh. 11 milioni ni ndogo kujenga ofisi ya walinzi yenye viwango vya kikanuni na kiusalama!
Jumaa kareem!
Tatizo lenu mnachanganya gharama za ujenzi wa nyumba tunazoishi, na mahitaji ya gharama za ujenzi wa nyumba za kazi maalum, hizi haziangalii ukubwa wa nyumba, zaidi zinatazama mahitaji ya vifaa husika kwenye ujenzi ambavyo vinaweza kuwa na gharama kubwa zaidi.Mkuuu najua umesha jenga au kma bado hujajenga utajua 11 mil ni pesa mingi au ndog kwa kijibanda
Kuachia mbali u sexless wako wewe pia ni brainlessKwahiyo mhandisi huyu anatuambia kwamba Kasimu Majaliwa amekurupuka? Uwaziri mkuu ni taasisi. Kama ofisi ya waziri mkuu yenye mkusanyiko wa wizara na idara bila kusahau wataalamu washauri inaweza kuwa haijui suala hili basi nchi hii Ina shida kubwa Sana.
Ninaamini mhandisi huyu amekurupuka ama anatafuta umaarufu ubwete (cheap popularity).
Aha kwa hio gharama ni pamoja na himars,Tatizo lenu mnachanganya gharama za ujenzi wa nyumba tunazoishi, na mahitaji ya gharama za ujenzi wa nyumba za kazi maalum, hizi haziangalii ukubwa wa nyumba, zaidi zinatazama mahitaji ya vifaa husika kwenye ambavyo vinaweza kuwa na gharama kubwa zaidi.
Sijui mnatoa wapi ujuaji wa kumbishia mtaalamu.
Mentality zenu ndio husababisha maghorofa mjini kuanguka halafu mnawalaumu wahandisi kwa ujinga wenu, wakati sababu ni nyie kutaka material ya bei rahisi tofauti na mhandisi anavyowaambia.Anaweza kuwa amejenga kwa simu na hela za rushwa. Akiambiwa mfuko wa cement 125,000/- anatoa tu.
Unajitoa ufahamu.Mentallity zenu ndio husababisha maghorofa mjini kuanguka halafu mnawalaumu wahandisi kwa ujinga wenu wakati sababu ni nyie kutaka material ya bei rahisi tofauti na mhandisi anavyowaambia.
Mtaalamu hapo ametoa sababu za kiusalama na kikanuni, zinazosababisha gharama iwe kubwa zaidi ya hiyo mil 11.
Ajabu nyie mnapinga wakati hamjui hata vifaa vinavyotakiwa kuwepo kwenye nyumba ya mlinzi, mnadhani vile vyoo vyetu vya nje uswahilini, na vyumba vya kupikia ndio bei sasa na chumba cha mlinzi standard.
Waziri yupo kwenye v8 la m450 SAsa anashangaa vipi kitu cha milioni 11
Je kwa sababu ni kibanda cha walinzi,ina maana kinatumia Cement tofauti na vibanda vingine au kuna Bullet Proof material ambayo inachanganywa huko?Hapa ni professionalism vs siasa.
Napendezwa sana na huu ujasiri wa mtu kutoa maoni yake kwa uhuru kulingana na kile anachokiamini hasa kwa kuzingatia taaluma yake, tusiwe taifa la kupongeza kila kinachofanywa na kiongozi bila kujiuliza.
Sasa ni zamu ya PM nae aje kutuambia yeye alitumia vigezo gani kusema ile milioni 11 ilikuwa kubwa sana, ila kama angeambiwa kile kibanda kimegharimu milioni 5 angekubali.
Bei gani mkuu?Katika hizi ya class ya juu ni 42.5 na bei siku zote iko juu.