Pole sana mkuuMie pia ni Engineer ila Mie nina mtihani mkubwa sana ktk maisha yng kuhsu ajira na Condition yngu..Age inasogea kigugumz chang kinanikosesh aman hasa ktk saili hizi nashindw kukizuia ndo kinazidi kabisa..Sijui itkuwje .
Pole sana mkuu utapata ajira kwa uwezo wa Mungu.Mie pia ni Engineer ila Mie nina mtihani mkubwa sana ktk maisha yng kuhsu ajira na Condition yngu..Age inasogea kigugumz chang kinanikosesh aman hasa ktk saili hizi nashindw kukizuia ndo kinazidi kabisa..Sijui itkuwje .
Ahsante mkuu,Aamin..it's 5th year tangu nigraduate..Sielewi nitafanyaje..Pole sana mkuu utapata ajira kwa uwezo wa Mungu.
Ushafanya saili za utumishi ukawahi kuingia mpaka oral interview??Ahsante mkuu,Aamin..it's 5th year tangu nigraduate..Sielewi nitafanyaje..
Yah niliwahi mkuu,Mwaka jana February..na Bahati mby ajira za fani yng ni mara 1 au 2 kwa mwaka kutangazwa utumishim..na hapo utakuta nafasi ni 1 tu..na hata nkibahatika kuvuka Oral..naharibu sababu ya hali yangu.Ushafanya saili za utumishi ukawahi kuingia mpaka oral interview??
Yah niliwahi mkuu,Mwaka jana February..na Bahati mby ajira za fani yng ni mara 1 au 2 kwa mwaka kutangazwa utumishim..na hapo utakuta nafasi ni 1 tu..na hata nkibahatika kuvuka Oral..naharibu sababu ya hali yangu.
Yah..Sana Mkuu.Huwa unafanya ibada kabla ya kuingia katika usaili, nakusudia kuamka usiku na kuswali rakaa mbili??
Soon utafanikiwa utakuja kuleta mrejesho hapa inshallah.Yah..Sana Mkuu.
Ahsante sana mkuu kwa kunitia moyo..Sitokata tamaa.Soon utafanikiwa utakuja kuleta mrejesho hapa inshallah.
Mimi nlikuwa na tatizo la mikosi ya kutopata kazi hata nifanye vipi, nitaahidiwa vizuri kazi alafu mambo hayawi..
Sasa hivi nashkuru nina kazi maisha yanasonga.
Ila mkuu utafanikiwa niamini mimi.. usifikirie kwamba udhaifu wako wa kuwa hivyo ndio hutopata kazi milele hapana!!!
Usichoke omba.
Mie pia ni Engineer ila Mie nina mtihani mkubwa sana ktk maisha yng kuhsu ajira na Condition yngu..Age inasogea kigugumz chang kinanikosesh aman hasa ktk saili hizi nashindw kukizuia ndo kinazidi kabisa..Sijui itkuwje .
We upo government na je ulitumia njia ya kuamka usiku na kuombea kazi yako?Soon utafanikiwa utakuja kuleta mrejesho hapa inshallah.
Mimi nlikuwa na tatizo la mikosi ya kutopata kazi hata nifanye vipi, nitaahidiwa vizuri kazi alafu mambo hayawi..
Sasa hivi nashkuru nina kazi maisha yanasonga.
Ila mkuu utafanikiwa niamini mimi.. usifikirie kwamba udhaifu wako wa kuwa hivyo ndio hutopata kazi milele hapana!!!
Usichoke omba.