Mhandisi akioga

Mhandisi akioga

Jamani hilo ni ziwa au bahari????!!!! Kama ni bahari unaweza kweli kuoga maji ya maji ya bahari...sijui bwana, labda hilo ni ziwa....anyway, siyajui sana mambo haya....
Samahani mkuu rudia kusoma kwa umakini ulichoandika
 
Samahani mkuu rudia kusoma kwa umakini ulichoandika

Nimesoma, unasemaje ndugu yangu .....yaani unaulizia kuhusu 'maji ya maji ya bahari'...ondoa maji ya ili ubaki na maji ya...ilikuwa ni haraka tu ya kuandika
 
Back
Top Bottom